@kasakiselemani: niambie wimbo huu kwa mara ya kwanza uliusikia ukiwa wapi??

kasaki selemani
kasaki selemani
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 16:17:43 GMT
36312
2610
154
153

Music

Download

Comments

user6229005477743
Jemisa :
my favorite song
2026-10-31 09:50:35
2
prisca.yohana44
Prisca Yohana :
Wimbo wangu pendwa huu jamn haipiti siku bila kuusikiliza utakuwa wimbo wangu wa kuingia ukumbin siku naolewa🙏
2026-10-31 09:07:08
10
frola_mbunda
frola mbunda :
huu wimbo unaningusa sana 🥹🥹🥹
2026-10-31 10:12:13
1
besttest02
Fine girl 💞 :
my favourite🥰
2026-10-31 09:49:41
1
namsifu
user49306 :
Hakika [Heartwarming]
2026-10-31 06:35:01
1
happie1615
happie😍 :
Wimbo unaitwaj nimeupenda
2026-10-31 07:00:11
5
user9562585498880
anitha atanasi :
ubarikiwe sana huu wimbo naupeda sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-31 10:17:37
2
user10752696762265
official love😘 :
kanisan kwa mama rwakatale[Heartwarming]
2026-10-31 10:20:23
1
marrypaulo24
marry :
harusi 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
2026-10-31 08:00:18
1
user3739133986272
Jasmine :
wimbo wangu pendwa wakati wote
2026-10-31 09:15:47
1
jennifer14129
Jennifer :
hakika Mwenyezi MUNGU nimwema San
2026-10-31 08:23:47
1
2424natalia
Natalia :
DSM
2026-10-31 05:32:56
1
doriebey95
Doriebey95 :
kkkt ushirika wa tabata kimanga
2026-10-31 06:19:45
1
happy.njuu
jonathan lasway :
huu wimbo kipindi nimetoka kumleta daughter naingia ndani nakuta huu wimbo
2026-10-31 10:35:25
1
witnesstimily
Witness,Mrs Steven💕🔥🔐 :
Napenda sana hii nyimbo
2026-10-30 23:37:16
2
user5808553392591
user5808553392591 :
kaka umepotea sana shabiki zako tumekumis sana
2026-10-31 06:59:25
1
im476988
Mwakipandule_jr :
Bado naupenda had leo.
2026-10-31 06:45:48
1
catherine.mtegeta
Catherine mtegeta :
amen amen🙏
2026-10-31 09:59:38
1
manka.kakinabo
MASHIRIMA WAROMBO MCmama mkwe :
naupataje
2026-10-31 04:58:36
1
user2856361771149
No stress mind your life :
inaitwaje vile
2026-10-31 04:31:02
1
user5746990517455
yuvita :
katanga
2026-10-31 04:33:13
1
enjel.tnzany
ANJELA F MASSAWE :
Kipindi hicho nipo vingungut mvua zikinyesha wanafungulia vyoo we maisha yalijuwa magumu
2026-10-31 09:10:18
1
memalukosi
memalukosi :
Ruvuma 2015 EATV ASUBUHI
2026-10-31 08:10:06
1
user2295309071102
Teacher salon. :
huu eimbo jmn acheni tuu.niliusikiliz siku nimetok hosp kumalizia chemotherapy nililia sana kwa niliyopitia kipindi cha matibabu. 😭😭😭😭magonjwa mengine ni mapepo
2026-10-31 05:39:00
1
rebecca.petro.noha
Rebecca petro Noha :
niliutafuta sana huu wimbo mapaka bas maan sm yangu ya kwanza ilipotea
2026-10-31 07:11:00
2
To see more videos from user @kasakiselemani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About