@mr_english_tz: #🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 #creatorsearchinsights

Mr English
Mr English
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 16:20:51 GMT
211589
7583
932
278

Music

Download

Comments

abdillahmanywele6
Yúśćõ ğĺáńüb :
Nishawah kufany kaz apo tooku garment💯💯💯
2026-11-02 05:59:27
0
zakym2229
zakyM :
jeans zinatengenezwa hapo halafu zinaandikwa made in China sielewag kwanni
2026-10-30 21:36:23
234
user508773760237
ESROMU JOHN :
UNAKELELE MWANANGU
2026-10-30 21:04:18
370
rubys.kitchen0
Ruby's kitchen 🧑‍🍳 :
staki kupakumbuka nlijitahid miezi minne tuuu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-01 20:39:51
1
jassystories
Jasmine Pazuel :
Nani tukaombe kazi j3
2026-10-30 19:26:27
90
user2436300422320
rechoo🥰 :
naskia ukienda hapo awana haja ya kujua jina lako 😂😂😂😂
2026-10-31 06:18:40
95
elia.ngonde
Fadhil Elia :
100/100
2026-11-01 14:57:56
0
j_kilawe
Jackson :
vingekuwa viwanda kama hivyo 20 tu hapa dar kila mtu angepatq ajira
2026-10-30 17:49:51
60
khanclassic255
KHAN"S THE TRANSPORT OFFICER :
kaka nimepiga hapo niliku TOOK D KNIGHT nilikua kitengo cha Q.A au Quality Accurase mamamae mzee niliingia navaa nguo siz 35 ndani ya miezi mitatu nikaa navaa 28 oyaa nilikonda mzee humo ndani ukiingia malaika wako wote wanabak nje wanakusubiri utaoke yan mshahara ili uuone lazima usile mwez mzima
2026-10-30 19:03:40
71
sophiaally883gmai
kiki :
jinsi ya kupat apo kazi natak
2026-10-31 04:50:44
13
lisa.jackson292
Lisa Jackson :
tusidharau kazi za watu kama Mungu ww amekupa kazi nzuri basi Mshukuru Mungu kuna watu hapo kupitia kazi hiyo wanalisha familia zao maisha ni magumu acheni watu wafanye kazi kikubwa haibi cha mtu
2026-10-31 07:02:27
25
meshack_msomba
Meshack :
Kwan Pana issue gan uko??
2026-10-30 19:59:39
22
minahally28
binti ally :
upite na darling saa 11 na nusu mbagalaa utanishukuru 😂😂😂
2026-10-30 23:17:29
12
murhatomary
Murhat Omary :
kazin kwangu
2026-10-31 05:44:28
9
sophieskitchen11
Sophie's Kitchen :
Hahaha hapo nilipewa cherehani ya umeme, afu nikapangiwa kushona msamba😆nilipiga viduku mpaka nilitoka natetemeka😆😆😆
2026-10-31 22:42:44
7
georgewatson01
BLACK PANTHER :
katika maisha yangu siwezi Fanya kazi kiwandani mim at iwaje utumwa halafu Hela ndogo san
2026-10-31 05:13:09
9
tiphaoutfits
TiphaOutfits :
Kama Mazava Morogoro mjini😂😂
2026-10-30 20:50:19
9
erric.kisigo
erric kisigo :
akinipelekaga mjomba angu nilifanya kwa siku tatu ila mjomba nazani anarcho mbaya au atakuwa alikuwa anipendi nilitoka sina akili timamu
2026-10-31 04:20:48
10
_pandabavin
𝙋亗𝙖𝙣𝙙𝙖 :
Oya apo ukikuta mda ndo watoka unakuta mpaka traffic wanazuia magari ili wapite
2026-10-30 19:31:37
28
mwijaku967
sqees"96☠ :
na ukifanya umo kaz ujue usha pata na dem tialii[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-30 20:10:47
6
danter.mbisse
danter mbisse :
oyaaaaaa humo Kuna nusu ya watanzania
2026-10-31 09:13:22
0
officiallmario
OfFiCiAlLtZ :
ila camera man cjapenda ndo nn kunirecod😔
2026-11-01 15:26:55
1
apple.g587
Apple G😍😍 :
Mie nikajua chuo 😂😂🙌
2026-11-01 19:36:41
4
luambano85
Idris.. :
sijui kama kuna kingne kina mzid huyu
2026-10-31 05:05:21
0
user78113216126320
lizzy :
uki anza kazi, unafanya siku saba bila malipo 😂😂😂🙌
2026-10-31 09:20:59
2
To see more videos from user @mr_english_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About