@tumainitv: Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap, amewapongeza Wakristo waliochukua uamuzi wa kufunga Ndoa Takatifu, akisema kuwa uchumba sugu siyo baraka, bali ni kero. Amesema hayo leo Oktoba 30, 2026 katika homilia yake wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Somo wa Parokia ya Watakatifu Wote - Kiluvya, jimboni humo, iliyokwenda sanjari na utoaji wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara pamoja na Sakramenti Takatifu ya Ndoa, parokiani hapo. #tumainitv #radiotumaini #tumainiletugazeti

Tumaini Television
Tumaini Television
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 16:22:59 GMT
186976
7442
92
1565

Music

Download

Comments

yustashayo33
yusta shayo :
Ee Mungu nifanyie wepesi mwakani na mimi nilmalize hili swala mimi ni mke sugu bora ata uchumba sugu haki
2026-10-31 15:25:53
67
ba2li5
Ba2li✅🔰 :
Nataman nimtag muhalifu wangu😀😀
2026-11-01 16:52:27
2
hailath39
Hailath😎❤️ :
Uchumba sugu ni kero🥹😭🙌
2026-11-01 11:57:33
20
binti_sayuni3
Binti_sayuni :
kwann umeifungia nisichukue hii inanihusu natakiwa niwe nayo muda ote niisikilize ili akili iniingie vizur
2026-10-31 16:07:23
9
user4265312935694
user4265312935694 :
upande wangu uchumba sugu ulikuwa bora kuliko ndoa
2026-10-31 13:30:26
0
bahati.froliani
Official da winna🦋🦋 :
😳😳😳😳😳 mungu naomba mwakani isipite kimya
2026-10-31 19:40:14
4
angerahy1
mom ally 🧸💖🌹💗 :
kuna Mimi mahusiano sugu😭
2026-10-31 19:02:30
2
elishamdoe245
Elisha Mdoe :
askofu samahani kuna kwaya ambayo imejitokeza nadhani inatengenezwa na ai inatuchafulia dini yetu naomba kama kiongozi wa dini ulifanyie kazi samahani sana baba askofu
2026-10-31 19:21:59
3
jannie2905
Jannie🦋 :
Usingeifungia hii itasaidia wengi
2026-11-02 10:58:31
0
user637923381883
nenema :
sasa mna funga kisa nn achen watu wachukue wafundishe wengin
2026-10-31 20:01:02
1
winfrida.kashele
winfrida kashele :
Nilitaka nimtumie mpenzi wangu kumbe imefungiwa jaman
2026-11-01 18:12:37
0
missev7
user1894157382042 :
baba una mbingu yako
2026-10-31 07:02:37
1
user740272145230
vaileth tz :
amin
2026-11-01 14:42:21
0
evatelesifory
.. :
aminaa
2026-10-31 04:05:49
1
catherine_2552
Catherine :
amina baba
2026-10-31 05:32:24
0
aminamussa137
aminamussa137 :
kweli
2026-11-01 15:22:15
0
sianecakes
sianecakes 🇹🇿 :
Sawa baba.
2026-11-01 17:26:15
0
blandina.mkelecha
Blandina Mkelecha :
Mungu ni wapekee
2026-11-01 05:54:21
0
jenifar.mohamed1
JENIPHER MO@ :
napokea mtu mpya kwani iman
2026-11-01 09:11:51
0
smart1_collections
Mercy_Collections :
Ee Mungu nikumbuke kutoka na uu uchumba sugu ,ka uyu kaka miye nachoka[Big LOL][Big LOL]
2026-11-02 12:15:57
0
agnespetro89
Agnes Petro :
kweli baba uchumba sugu ni kero me nishakereka basi
2026-11-01 07:45:44
0
annapatrick262
Annecute :
babe wangu si unasikia lakin🤣🤣
2026-11-02 10:55:12
0
lightness_momy
Farajah😘🥰😘 :
kwel uchumb sugu sio baraks uchumba sugu miak sit loo
2026-11-01 09:25:11
0
christinanyanda74
Christina Nyanda :
Amina baba
2026-10-31 06:50:27
0
To see more videos from user @tumainitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About