@millardayo_: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia Watu watatu kwa tuhuma za kushirikiana kumtorosha Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Sokoine Memorial, iliyopo Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 30, 2026, na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Watuhumiwa hao ni Kandolo Rosingo Kibasisi (56), Michael Jackson Shabala (32) na Victoria Ngale Hagiro (41), ambao wote ni Wafugaji na Wakazi wa eneo la Sokoine Shule. Polisi wamesema tukio hilo lilitokea Oktoba 26, 2026, majira ya saa 9 alasiri katika eneo la Wami Sokoine, Kijiji cha Wami Sokoine, Kata ya Dakawa, Wilaya ya Mvomero, ambapo Mwanaume aliyetajwa kwa jina la James Deo Kopilato, ambaye bado anatafutwa, anadaiwa kushirikiana na Watuhumiwa hao kumtorosha mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa. Kwa mujibu wa Polisi, Mwanafunzi huyo alikuwa anatoka shuleni na wenzake ndipo alipodaiwa kuchukuliwa kwa nguvu na kupakiwa kwenye pikipiki, kisha kutokomea kusikojulikana. Aidha, Polisi wamesema upelelezi wa tukio hilo unaendelea ili kumkamata mtuhumiwa aliyebaki na kubaini mahali alipopelekwa Mwanafunzi huyo, huku wakieleza kuwa chanzo cha tukio hilo kinahusishwa na mila potofu za baadhi ya jamii za wafugaji za kuwatorosha Watoto wa Kike kwa nguvu kwa lengo la ndoa. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 16:28:01 GMT
29241
1015
33
109

Music

Download

Comments

flowergal122
FILO'E :
naomba namba za omary
2026-10-30 16:58:53
1
daniloomu725
done boy :
police nao wanahitaji pongezi hongereni kwa kazi nzuri🙏🙏🙏
2026-10-30 18:23:21
2
riahm1237
Riam👑♐️🌵 :
Mdogo wangu kafeli form four hapa tunasubiriii alale tuhame 😩
2026-10-30 16:40:26
2
zaihatmengigmail.com
♠️𝑌𝑂𝑈𝑇𝐻♥️💦💫 :
𝑆𝑖𝑜 𝑤𝑎𝑙𝑒 𝑤𝑎𝑙𝑖𝑜𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑠𝑒𝑚𝑎 𝑓𝑖𝑐ℎ𝑒𝑛𝑖 𝑏𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑎𝑦𝑢𝑝𝑜 𝑎𝑡𝑎 𝑚𝑚𝑜𝑗𝑎
2026-10-30 16:45:50
2
moreto94
Moreto :
nkajiang' e maa🙌
2026-10-30 18:21:08
1
elizabethmgema1
Elizabeth_mgema :
mmmmh
2026-10-30 17:47:58
1
daniel.kisota
Daniel Kisota :
tuache watoto wasome
2026-10-30 20:14:33
0
nicprecious5
nicprecious :
hawakumfanyia undamaged kweli jamani
2026-10-30 18:03:52
0
tonnymluwi
Mluwi _Og :
heee hapo Kuna mambo ✌️
2026-10-30 20:21:05
0
user5795303545665
Chimmy de :
hongereni jeshi la police
2026-10-30 20:05:18
0
user8227701541263
papaamiyoda mr :
duh hakuna kutopolosai saivi
2026-10-30 21:01:09
0
moanatext
~Prissy~🦋🦋 :
Wazembe sana
2026-10-30 19:25:28
0
dolupha1
dolupha1 :
leo me wakwanza
2026-10-30 16:33:57
0
dottokoseyi
OLE KOSEYI TZ🇹🇿🇹🇿 :
acheni watu wajichukulie mwali
2026-10-30 18:47:00
0
ole_keiya_001
YEKU S KEIYA🇹🇿🇹🇿 :
nilijua tuu ila sisi 😂😂
2026-10-30 17:09:43
0
daniel.maimba
Star ⭐⭐⭐ boy :
mila yetu kwixha
2026-10-30 17:55:13
0
victormassawe122
victor massawe :
2026-10-30 16:34:16
0
ole.kilosa
ole kilosa :
2026-10-30 20:18:10
0
user39161855802200
Carlos :
Duuuh miaka 52 naeyupo
2026-10-30 17:56:35
0
marry.mfilinge
Marry Mfilinge :
😂alitaka bhana kwenda nao
2026-10-30 17:19:45
0
user39146551631622
nyangulo :
kasema mirapotofu daa
2026-10-30 21:27:03
0
_captainmiah
captain🕊️ :
kumekucha 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-30 22:30:51
0
d.og.badman
D Og Badman :
nimekoma na me nilikuwa na hiyo nia 😂😆😂 ila wamasai 😂😂
2026-10-30 18:04:36
0
mama.kimbo57
MAMA KIMBO :
wamasai mnashida gani
2026-10-30 18:03:25
0
chiomah81
chiomah♥🫦 :
sasa vijana wanashida gan? ni hela harumu inatafutwa au
2026-10-30 16:38:56
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About