@ms_zuu: Ukiwa dar es salaam unaweza kwenda hapa thai khan restaurant ipo ndani ya slipway uka enjoy siku yako. Wana vyakula vizuri sana na vinywaji vyao ni fresh. Ukiwa dar ukataka kula vizuri huku una enjoy upepo wa bahari hii ni sehem nzuri kwenda