@jvckieseven: mwaka 2014 huyu mwamba wa kuitwa NASRI aliachia hili dude lake safi kabisa lililofanya vizuri sana sokoni, hili dude linaitwa NINI lilitayarishwa na producer BOB MANECKY ambaye ni mdogowake na producer MANECKY 🔥
the best song 😍 kw mke wng nliezaa nae likua lov song lyrics mpk namuandkia
2026-11-09 19:58:16
0
Muhenga Mtandi :
npo form six
2026-11-09 23:19:04
0
happy 🌺 :
My fav song .aaa
2026-11-09 20:46:25
0
Emmax barnabas :
dah shemej yangu saiz kawa mlevi yupo yupo tu kisemvule tungi nayeye yeye namitungi da brother nassoro sijui imekuwaje kaka
2026-11-07 13:24:12
5
kibega II jr :
zaman kila kitu kilikuw dhahab, siku hzi kushindana kuliwa tu maskin 🥺🥺
2026-11-09 14:37:23
4
JESCA WILBARD :
wale tulikuwa tunaimbiana form 3 line here😅
2026-11-07 20:06:28
2
asnathdawzy1 :
Jamn nasry upo wp 🥰😂
2026-11-08 10:33:50
2
Mo used dar es salaam :
sio bob manecky ni maneky wa AM record awa ni watu wawl tofauti
2026-11-07 21:36:57
3
user7888196250666peace :
2014 kidato Cha tatu
2026-10-31 12:36:39
8
She is Eta🌸🎀 :
Ilikua nyimbo yangu pendwa hii aise🔥🔥
2026-11-09 17:50:21
4
Rashidmàliasi :
yani kitambo hicho hiyo video ilishutiwa na sm ya mkononi umeme ulikuwa Wa mgao walikaa sana MBA akaamua afanye hivyo jamani umenikumbusha mbali sana mwanangu nicheki nikupe vocha yako
2026-11-08 03:47:31
2
Mr. Soka :
hili dude weng sana walijuaga n Rich mavoko... sijawah kuacha Kulidownlod.. humo marehem Director Nisher alifanya bonge moja la video, Hilo kuchuja labda Dunia itoboke... 2014 Niko Zang la 5 ... nasry sijui ata aliishia wap daah... [Fire]
2026-11-08 05:19:57
1
emmr :
Zamani watu waliimba aiseee
2026-11-09 11:39:18
0
Emma the boy :
dah km yaLeo vile🤣🤣
2026-10-30 17:19:11
3
Charles Karoli :
Zaman kulikuwa na mziki CKU is matusi na mipunga
2026-10-31 18:21:41
6
graceous :
🥰🥰🥰 ilikuwa nyimbo yangu pendwa
2026-10-31 06:02:13
6
Ysha_❤️ :
Kwan Yupo wapi hyu jmn🤷🏼♀️🤷🏼♀️
2026-10-30 21:17:24
4
cutelicia :
alienda wap huyu kaka
2026-11-10 05:40:57
1
heissubi⚔️💣 :
iyoo nyimbo imefafana na masebenee
2026-11-07 08:59:33
2
Baba met :
wachache sana wanao jua izi ngoma
2026-10-30 21:52:11
4
Dannyscott abednego :
Mm npo la nne aiseeh hiyo kipndii
2026-11-09 17:09:50
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.