daah...! ila kaka wapo, mi naumia juu wangu leo kaniambia anaenda kwako sitawai muona tena imeniuma sana 😭❤️🩹🥹🥹🥹🥹tz
2026-11-01 18:41:52
3
DIZZOY🙏🇹🇿🇿🇲🇨🇩🦅 :
moja kwangu BLOOD [Power]
2026-11-12 05:29:37
1
barakah :
kaka hata ukivuta picha haijii mkuu
2026-10-31 04:15:35
1
Mrs daisy :
sijawahi kumchit ila hajawahi kunithamini inaumiza unajikuta umetoa kila kitu na kuna baadhi y ulikubali viende kwa ajili yake na wazazi walivyo kushaur uliona ni kama kero ila daaah 😢😢 inaumiza sana
2026-11-07 18:51:44
1
abu khanifa :
on that moment unaiona dunia yote iko kiganjani kwako
2026-11-11 15:28:07
1
user7628044176587 :
uongo sijawahi kumchit miak25
2026-11-01 18:13:06
1
minah♥️🌹💝 :
nipo nimepuuza wengi San wengi lkn pia ameniach alhamdulillah nashkuru Allah