@jvckieseven: mwaka 2014 msanii christian bella aliachia huu wimbo wake safi kabisa aliomshirikisha mkali ommy dimpoz wimbo unaitwa nani kama mama ulitayarishwa na producer MAN WATER 🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 17:13:19 GMT
246873
12638
263
863

Music

Download

Comments

madam.pemmy
madam pemmy :
kabla our man hajachange
2026-11-12 06:20:01
0
mungukwanza01
ELIAS :
Daah nipo darasa la 6 aisee
2026-11-07 23:39:18
4
smartnikoboy
Nick Mbugano 💥IRINGA :
Mama❤️❤️miaka mingi kwako mungu akupe maisha marefu🙏
2026-11-01 20:44:08
67
user2613472744755
@mwenda mseya.tz :
me nipo la pili hapo😁😁
2026-11-06 20:11:33
11
matumla4545
saidi matumla20 :
nipo darasa la 6
2026-11-09 11:58:27
4
pompwayda26.life
Pompwayda26 life :
The mom 🥹❤️‍🩹
2026-11-12 08:27:37
0
itc.blaqjenny
itc. blaq jenny 🇰🇪 :
mimi ndio huyo mtoto
2026-11-09 09:20:44
2
atlanta.napoli
Atlanta Napoli :
Baraka tele kwa wa mama wote Duniani 🥰
2026-10-30 17:48:57
12
official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
Hii nyimbo nikiisikiaga cnaga pawa ya kuimaliza najikuta nalia tu. pumzika kwa amani mama yangu😭😭😭
2026-11-04 15:49:19
10
agnesdege
Agnes Dege :
nawapend wamama wotee duniani
2026-10-31 16:15:01
8
atugonza.jasson
ATUGONZA JASSON :
Mama angu mungu akupe Maisha marefu uone mafanikio yangu
2026-11-07 19:39:00
18
ashurashabani858
Ms ashura :
Pumzika salama mama kipindi hii nyimbo inatoka ndo mama anafariki . Inanikumbusha mbali
2026-10-31 10:37:04
5
shadiamartini
Muller :
hakuna kama mama ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥
2026-10-31 10:03:21
6
user4218371994413
Nicky :
Je t'aime beaucoup ma Maman ❤️
2026-11-09 07:19:15
0
naah1213
naah1213 :
Hii nyimbo siwezi kusikiliza mpaka mwisho wallah pumzika Salama mama angu 😭😭🙌
2026-11-09 19:49:42
7
uwamahoroshanu
uwamahoro shadia :
ya Allah wape maishamarefu wa mama wote duniani🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-07 05:19:46
6
user5581247551318
cosygee :
Mungu awasaidie mama zetu kweli
2026-11-10 07:04:32
4
mariana.star02
Mariana star :
my mom [Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-11-10 10:19:49
1
user8857263766982
Biba JR :
mama❤
2026-10-30 20:48:03
3
agnes.ntahamba
Queen Aviator 😘😘💕 :
Mungu azidi kukutunza mama yangu nakupenda Sana uwe na miaka mingi kpnz cha Mimi nakupenda sana mama yangu kpnz ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-11-10 08:26:00
3
abdul.michael2
Abdul Michael :
Hakuna Kama mama
2026-10-31 23:50:31
1
mama_ahmady1
Mama_ahmady :
mama
2026-10-31 14:59:25
1
dieula681
Dieula 💗💗 :
hakuna kama maman🧑‍🍼❤️
2026-10-31 15:47:43
1
mamy.maher05
mamy maher :
[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]mom
2026-11-02 11:04:37
1
mrsp679
💞💕Silly🥰🥰 :
mama
2026-11-01 20:44:57
2
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About