Asanteee mungu naomba unisaidie wazazi wangu hawapo vizuri amani haipo ndani ya familia😭😭😭 na mm ndo mtoto wa kwanza ktk familia 😭mungu naomba baraka zako napitia magumu sana 😭
2026-10-30 18:21:17
1
mwende🥰🥰 :
Asante mungu kwa kuniamsha siku ya leo,,,anza nami maliza nami dear lord🙏