@mweusimediatv:

MWEUSI MEDIA
MWEUSI MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 17:40:07 GMT
42463
1820
79
241

Music

Download

Comments

its_aste
Asteria 🦋 :
Mmemaliza kusikiliza aya twendeni tukalime 😂
2026-10-30 20:53:56
36
roserds5
Rose🌹🧸 :
Yaani me nikipewa iyo Pete moja ya 300k me namaliza shida zangu zote😂😂😂😂
2026-10-30 20:22:35
6
roxanny695
Roxanny :
duuh kuna watu wanaishi jaman,sjui ni kwel mmmmh
2026-10-30 18:22:01
16
sabrahassan767
swabr🌹🦋 :
ndg zangu tunaoishia bwana asifiwe sana
2026-11-11 21:14:39
0
ironbutterfly326
ironbutterfly326 :
Eee baba miwani million 2 wakat ipo ya afu mbili 😂😂😂nitafika kweli
2026-10-31 05:04:41
5
user5768145198837
user piee edwin🫣🥰 :
uwiiiiiiiiiiii jamn kuna watu wanaishi jamn mama naya kavaa mtaji wa biashara kabisa yaan kavaa bei ya kununua kiwacha cha kujenga limjeng
2026-10-30 19:33:26
11
taherabubakar555
Taher abuubakar yusuph :
Umevaa maisha yangu vidoleni
2026-11-05 19:27:25
2
babydear68
🦋miss dear🦋 :
siku nandy asipokua na mabodyguard wake mniambie🥺
2026-10-31 09:53:12
5
user12902407971810
cisca👸💕 :
wanaume kama baba naya wako wap mnaskia anavyosema kaninunulia mume wangu 😍🥹
2026-10-30 19:39:25
6
user62169758421763
brien kimambo :
maskin ya mungu jina shida ya 100k tu alafu kuna mt ana handbag m9 all in all good bless u nandy
2026-10-31 17:55:39
1
_genzfamily2025
M&V💫❣️ :
nikifika utajiri WA kununua accessories za million kwel nitaumwa homa isoisha
2026-10-31 04:40:17
2
totoareinah045
@phinah_The leopard 🐆 :
2026-10-30 21:07:50
5
user1815026190002
zawadi🇺🇲🇨🇩 :
ila kua msanii kazi mmh
2026-10-30 23:47:33
2
ninoh_kim01
ninoh_kim✌️🫦 :
nipo nasikiliza kwa makini jmn hiyo Pete tu inapita full outfit yang
2026-10-31 15:04:46
1
luizer3
BABY GIRL :
jaman mbona kavaa nyumba ya ndoto zangu kabisa
2026-10-31 07:32:02
2
pili.francis5
@mimi :
😒
2026-11-01 06:16:53
1
momy.kylian01
💝momy kylian 💯❤️‍🔥 :
jmn 😳😳😳
2026-10-31 07:17:44
1
user2967234704728
reenkido :
Mnh mm nae nitachelewa jaman skunaa ml 3
2026-10-31 16:31:01
1
saraphina891
GwantwA 💛 :
Kiatu💕
2026-10-30 20:53:08
1
itssophie455
🦋 its s :
Mmmh hivii watuu wanatuchukuliajee
2026-10-31 00:27:49
0
aisha.madebe51
Aisha Madebe💕 :
Asante dada
2026-11-13 11:43:31
0
cici.timmy78
min🎀timmy🤍✨🫧🦋 :
mm nlivyomuon tu n nandy nkakaa kmy maan ushaambiw anapend vitu designer
2026-11-13 07:55:28
0
hell..80
hell :
2026-11-07 16:53:11
0
guizotkileo
Guizotkileo :
Pete ake mmoja mtaji wangu wa biashara😁
2026-10-30 22:28:15
0
To see more videos from user @mweusimediatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About