@thestarkenya: Eastern Regional Director Patrick Lekenit reiterated NEMA's ban on plastic bags, warning that users face fines starting at KSh2 million and manufacturers up to KSh4 million #thestar #machakos #nema #plastic #bag #ban #users #fine
The Star Kenya
Region: KE
Friday 30 October 2026 19:30:00 GMT
Music
Download
Comments
🌸𝓐𝓶𝓪𝓷𝓭𝓪 🌸 :
Bread and milk packaging are not plastic?????
2026-10-30 21:28:25
0
i.am.kani :
Mzeee, if you want to shut the use of plastic close it at source hii ya kusumbua wananchi hamuoni mnaumiza wananchi
2026-10-30 22:00:27
4
KIVUMBI MITUMBA :
Hio mifuko iko nyingi na allover. ukitaka iishe shika manufactures
2026-10-30 23:48:42
6
Nel Wallace :
Hizi ni story za abunwasi tuu
2026-10-30 20:57:18
2
Wa Masinga Masinga :
go and close the producers
2026-10-31 00:39:41
0
Vivid Realtors Official :
Wakishika watu ukiwa na mia mbili unawachiliwa.
2026-10-31 02:02:09
0
Designer Raybrown :
na mipira ya condomu fine ni ngapi mkuu
2026-10-30 20:57:07
1
trope ngimwa :
pepper bags zimejaa kila mahali
2026-10-30 20:04:09
1
4K :
mnajua watengenezaji na hamuwezi washika
2026-10-31 00:38:38
0
tyger Tyson :
kujeni Rwanda ndio mjue hiyo sheria inafanya kazi , Kenya bado hamko serious.. bakeries za Kenya zinafunika mkate Na Nini ??
2026-10-31 00:50:06
0
Mawimbi ya Ujii :
unataka mama mboga aweke wapi Sukuma na viazi ? Ruto futa kazi huyu mutu anakuharbiya jina la serikali yako
2026-10-30 23:41:28
0
Manas :
zinaakuja kutoka majuu clothes import bona hamusheki
2026-10-30 22:21:43
0
jack :
angalia camera basi😁
2026-10-30 20:08:28
0
Jsmine smart :
uongo tupu
2026-10-30 21:32:22
0
Gody Malix :
arrest the source if you are serious
2026-10-31 01:01:44
0
Osman :
marafuku ni maandishi tu kenya
2026-10-30 21:01:50
0
hydar :
You have no substitutes mnajua kupiga midomo. Plastic hiwexi isha, its a petroleum product
2026-10-30 19:56:53
0
Rodney Aduol :
anzeni na
1.skari
2.maziwa
3.tomato paste
4.mkate
5.sweets
6.kwa butchery
hii ni mifano kidogo 2 bado ya2mia plastic bags
2026-10-30 21:30:36
0
To see more videos from user @thestarkenya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.