@kusagatv:

MWANDISHI WA WANANCHI
MWANDISHI WA WANANCHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 19:13:03 GMT
119863
3770
202
261

Music

Download

Comments

latipha.mndeme
Latipha Mndeme :
mungu atulindie watoto wetu jaman 😭😭😢
2026-10-30 20:08:18
53
elizajohn971
Lizzy Lizzy :
ni mkoa gn
2026-10-30 19:24:31
10
officiallay6lay
lay💋💋 :
sautii jmn kwan ni cm yang tu
2026-10-30 20:17:45
13
lovely.de.preciou
lovely de precious :
Jamn nyie mie mbaka nmetetemeka jmn😭 mungu awalinde watoto wetu jamn😭
2026-10-30 20:16:04
16
hindis_funbits
Hindis_bits :
Eeh Mungu fungua neema Yako juu ya Jiji la Arusha...matukio haya yanaumiza moyo 💔 BABA kila siku mapya...eeh Baba Tusaidie japo kwa siku hizi chache kabla ya kumaliza mwaka Roho za mauti zikome katika jiji hili kwa jina la Yesu Kristo..Baba tazama wanao nafsi zao zinavyoteseka, ikiwa ipo ahadi ya kuingia langoni pako basi haki yako na itembee nasi matukio ya kutisha, ubakaji,ulawiti, mauaji, wizi, visasi na mengi yatokeayo eeh baba utukomboe katika hili janga...utuhurumie BABA, utupe kheri ya kuona rehema zako maishani mwetu usiruhusu matukio haya yazidi kukithiri katika Ardhi hii ya Arusha, eeh Mungu, utusamahe kwa kila wazo la mioyo yetu, utuhifadhi katika maneno ya midomo yetu, utunusuru katika maamuzi na matendo yaletayo uharibifu, uskie tukuombapo rehema, usiufiche uso wako hata usituone, ututazame na kutupa kibali nasi tupate kuthubutu kufurahia utukufu wako kwa ushuhuda mwemaa...Amina 🙏🙏😔
2026-10-30 20:32:43
9
magreth6847
magreth :
Mungu awarehemu marehemu wote 😢😢
2026-10-30 19:39:59
37
prettyrushayna
Pretty rushayna ❄️🦋 :
poleni🙏🙏
2026-10-30 21:19:09
0
user1233780591905
MNGONI🥰 :
polen[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-10-30 19:55:04
0
itc_momo13
@🎀MOMO🖇🌸 :
Mringa secondary anasoma mdogo wangu Ehh Mungu 🥹
2026-10-30 20:33:59
4
user5961350943797
user5961350943797 :
Je iyo dera wa rumio yuko wap
2026-10-30 19:36:10
7
m8120663
m :
Allah tulindie watoto wetu
2026-10-30 21:42:00
2
user1481095052719
Merry sonia :
Polen sanaa famlia hapo ngaramton napaogopaga sanaa mwanangu alipoteza meno8 sahi kavaa bandia ila namshukuru Mungu sanaa mana alimuepusha na kifo ilikua kifo hiyo
2026-10-30 20:24:03
11
skyzm09
Tanasha Don 🤴👸 :
Baba Mungu tulindie watoto wetu wafike nyumbani salaama
2026-10-30 22:11:12
5
shedrack0633
Shedrack :
which country is this
2026-10-30 19:23:23
2
jossesamweli
Officialjunior@Maa :
Poleni sana
2026-10-30 23:34:57
1
cathie.fetty
Cathie Fetty :
saut hakuna
2026-10-30 20:29:59
0
user5335404562629
Emanuel melubo moisari :
poleni
2026-10-30 20:28:27
0
user6777901915570
samyra :
poleli sana ndugu jamaa namarafiki kwa msiba huu mzito mungu awatie nguvu katika kipindi hichi kigumu na mungu awalaze mahali pema peponi amina
2026-10-30 19:59:11
6
user5885480751650
kaka mkurya :
Jaman poleni sana 😭😭😭😭
2026-10-30 19:37:06
6
lina.antony
Anaiyya 🥰❣️😍 :
daaa
2026-10-30 21:43:31
1
swaumtoth
swaum toth :
mbona saut hamna au ni simu yangu
2026-10-30 19:47:19
0
mwansity31
mwansity :
mwenyezi mungu,awajalie kauli thabiti,mungu uwapokee watoto hawa,roho zao,
2026-10-30 21:02:22
3
timothmage
Mama dodo :
sauti hamn jamn huku ni wapi Mungu simama pekee yako
2026-10-30 19:58:56
0
queensimba56
Queen Osborn :
Adonai tulindie Watoto wetu Ndugu zetu Shetan na watu wake hawana Mamlaka na Damu zao kila Madhabau za kuzimu zinazotaka damu za Ndugu zetu tunazichoma kwa Jina La Yesu🙏🏾🙏🏾Rest in Peace Angels
2026-10-30 21:23:44
3
margrethayo1234
margreth :
Arusha kuna nini jamani kila siku matukio ya vifo tu
2026-10-30 21:29:37
1
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About