@kenya.ni.yetu3:

Kenya ni Yetu
Kenya ni Yetu
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 30 October 2026 19:20:33 GMT
70898
2489
105
117

Music

Download

Comments

magnito_omar
Magnito_Omar :
Bypass kuna bodaboda amepigwa risasi some hours ago
2026-10-30 20:40:16
66
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-10-31 06:33:47
0
nasrahcutie
Rahmah🥰🥰 :
Na Kuna Bodaboda ampigwa risasi saii usiku hapa Likoni bypass inaskitisha sana Wallah 😭😭😭😭
2026-10-30 21:19:56
29
nabz272
Nabz❤️ :
Aldina place mm ueda kulewa 🙆🙆🙆😳😂😂😂yesu umeniokoa
2026-10-31 01:53:17
13
lady.imani
lady imani :
niliwaambia mtaitoa, alinuno simchezo huyo ni moto
2026-10-30 23:32:53
31
lizliamoodsbackup
lizliamoods💓 :
🤣🤣🤣🤣, this is Kenya bana
2026-10-30 19:59:27
8
hamsodockey
Tik Toker :
inawezekana coz ukifika ferry ukitaka kuvuka unalipa 120 ukiwa na gari then wale maasikari wakufanya uchunguzi kwa gari wanachukua 50 or 100 hawaangali gari imebeba nn so inawezekana mbona
2026-10-30 22:07:43
12
user4400614461200
Babake Natasha :
si mlisema huko ni Mombasa si kayole😅
2026-10-31 04:42:24
9
kingangi.kisoli
kingangi kisoli :
wacheni mm nakaa aldina na sijasikia
2026-10-31 05:00:46
5
sherrydiamond
diamond sherry :
kuna routes nyingi zakupita sio lazima ferry
2026-10-31 04:31:08
7
chet593
ChetWN593 :
kutoka Likoni si lazima uvuke na ferry ufike Jomvu
2026-10-31 06:11:04
1
user38175165634426
chepe :
sihami kenya
2026-10-30 20:20:07
4
mummysdaughter003
Mummy's daughter🥰 :
wacha uongo niko aldina na sijasikia🤣🤣🤣🤣
2026-10-31 05:39:36
1
wataka70
WATAKA :
we now want to know who is behind the incident we can't lose our officers and the people behind it go unpurnished....
2026-10-31 03:24:26
2
sophizcch07
MOMBASA RAHA 🇰🇪 :
imepatikana Kweri?
2026-10-30 20:14:26
2
ass_matic1
🌺Min Ritah🦋💐 :
Aldina mbona sijaskia mm na nakaa jomvu
2026-10-31 04:13:59
2
alphoomarto
Martin decors🚪🔨 :
Mm sijawai kuwa searched nikitoka hiyo side ya ferry kuja mombasa..its only nikienda likoni from msa ndo naonaga wakisearch
2026-10-31 03:20:49
1
leysalsempire
Leyla :
Imepatikanapi wakati huku imefanyiwa testing na bodaboda wa watu..
2026-10-31 05:28:39
1
youngprincess01
YOUNGPRINCESS 💞 :
aty mwasema imepatikana mtaani place naishi ,sijaskia io
2026-10-31 04:07:21
1
barrysgal0
😊🥰REAGANS CLOSET :
be serious
2026-10-30 20:11:52
2
youngsavage268
prime502 :
kama imepatikana mwamaanisha Leo likoni wnakesha???
2026-10-31 04:11:52
0
everlynekalumu2
@HALALI YAKE🥰😘🥰😘 :
😂😂😂😂yn ww
2026-10-31 06:07:21
0
sasha.beb3
SASHA BEB :
🤣🤣🤣
2026-10-31 06:00:58
0
less.lethal
K Ø N M Ā N :
Distrikt Of Likoni™
2026-10-31 06:09:46
0
patricdec
️ :
tunataka ya likoni ya jomvu ililetwa na maji
2026-10-31 04:21:16
0
To see more videos from user @kenya.ni.yetu3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About