Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@hrplays01: Slowest Penalties Ever Taken 😂. #football #Soccer #trending #viral #foryou
HR Plays1
Open In TikTok:
Region: GB
Friday 30 October 2026 20:47:17 GMT
7369
302
3
3
Music
Download
No Watermark .mp4 (
8.2MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
9.75MB
)
Watermark .mp4 (
8.38MB
)
Music .mp3
Comments
Leking Traore :
♥️♥️♥️
2026-10-30 22:19:12
0
Noufou Ouedraogo :
🥰🥰🥰
2026-10-30 20:53:07
0
fallou sall762038255 :
🥰🥰🥰
2026-10-30 22:20:27
0
To see more videos from user @hrplays01, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
họ yêu em bằng mắt, chứ đâu.. #girls
Sewing haul🙏🤍🪽🧁
MASOMO YA MISA, OKTOBA 8, 2026 SOMO 1 Gal. 3:1 – 5 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa? Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na Imani? Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili? Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure? Ikiwa ni bure kweli. Basi, yeye awapaye Roho na kufanya miujiza kati yenu, je! Afanya hayo kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na Imani? Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu. WIMBO WAKATIKATI Lk. 1:69 – 75 (K) 68 (K) Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajia watu wake. Ametusimamishia pembe ya wokovu Katika mlango wa Daudi, mtumishi wake. Kama alivyosema tangu mwanzo Kinywa cha manabii wake watakatifu. (K) Tuokolewe na adui zetu Na mikononi mwao wote wanaotuchukia; Ili kuwatendea rehema baba zetu, Na kulikumbu agano lake takatifu. (K) Uapo aliomwapia Ibrahimu, baba yeu, Ya kwamba atatujalia sisi, Tuokoke mikononi mwa adui zetu, Na kumwabudu pasipo hofu, Kwa utakatifu na kwa haki Mbele zake siku zetu zote. (K) SHANGILIO 1Per. 1:25 Aleluya, aleluya, Neno la Bwana hudumu hata milele, na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu. Aleluya. INJILI Lk. 11:5-13 Yesu aliwaambia wafuasi wake: Ni nani kwenu aliye na rafiki, akamwendea usiku wa manane, na kumwambia, Rafiki yangu, nikopeshe mikate mitatu, kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake; na yule wa ndani amjibu akisema, Usinitaabishe; mlango umekwisha fungwa, nasi tumelala kitandani mimi na watoto wangu; siwezi kuondoka nikupe? Nawaambia ya kwamba, ijapokuwa haondoki ampe kwa kuwa ni rafiki yake, lakini kwa vile asivyoacha kumwomba, ataondoka na kumpa kadiri ya haja yake. Nami nawaambia, Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nayi mtafunguliwa. Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Maana ni yupi kwenu aliye baba, ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au samaki, badala y asamaki atampa nyoka? Au akimwomba yai, atampa nge? Basi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Baba aliye mbinguni hatazidi sana kuwapa Roho Mtakatifu hao wamwombao? Neno la Bwana… sifa kwako Ee Kristo.
﴿ وَقَالَ ٱللَّهُ إِنِّي مَعَكُمۡۖ ﴾🤍 - - القارئ | @مشاري العفاسي سورة | المائدة ــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــــ #مشاري_العفاسي #قران #قرآن #هدوء #islamic_video
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy