@itssevenkona: mwaka 2014 msanii AMIR kutoka mkubwa na wanawe aliachia hili jiwe lake safi kabisa la kuitwa NIKUPETIPETI, jiwe lilifanya vizuri sana likiwa limetayarishwa na producer SHIRKO 🔥 lakini humo ndani kama kuna sauti za ASLAY hivi? 😀
SEVENKONA
Region: TZ
Friday 30 October 2026 20:56:57 GMT
Music
Download
Comments
Linah_eddie🦋🧚♂️ :
Nilijuaga kaimba Aslay😳
2026-10-31 08:37:50
11
swammyg4 :
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana jamani mwee🥹
2026-10-31 09:56:28
2
jonas joseph253 :
tuliokuw tunajua ni yamoto band tukutane hapa
2026-10-31 07:46:29
6
Ofman Eliah :
huu wimbo nilikua najua wameimba yamoto band
2026-10-30 21:28:34
6
MGALATIA de Conjugator :
Dah Leo ndo najua ngoma Siyo ya aslay
2026-10-31 06:48:27
4
sabrinaSucha :
heee kumbe sio Aslay
2026-10-31 09:41:38
1
HR NELSON✅ :
ft aslay
2026-10-31 06:05:31
1
msuyazahiri :
wimbo wa yamoto band huyo kaiba
2026-10-31 10:52:29
0
Nyaiyo Nyaiho :
wengi tulijuwa ni wmbo w aslay
2026-10-31 10:24:14
0
eliadadionizi :
sku zote najua wimbo wa Aslay
2026-10-31 06:36:04
0
day dreamer✨❤️ :
nilikua hata sijui mahusiano🥺
2026-10-31 07:32:27
1
Rashidi Gonti :
Yan video ndoo naiyona leo😁
2026-10-31 10:36:16
0
francis :
tatizo mdaa
2026-10-31 09:29:22
0
Husna"-💦🦂 :
huu wimbo si wa yamoto band
2026-10-31 10:31:17
0
KaSa_ViNa🌱 🫧 :
ila aslay kaweka verse yake humo
2026-10-31 09:58:17
0
Latino_mafia :
noma
2026-10-31 10:18:59
0
machilikaa boy :
kitambo sana aiseeeh
2026-10-31 06:15:39
0
Nyaiyo Nyaiho :
sema Kuna saut ya aslay
2026-10-31 10:25:30
0
WANAPOL72 :
Waah si Yamoto kumbe 😂😂😂
2026-10-31 07:13:23
0
Tatu Fadhali :
duh nilijuwa aslay
2026-10-31 07:20:09
0
dee _oden💕✌️ :
sijawahi kuuchoka huu wimbo
2026-10-31 10:04:42
0
Fadhili :
Tena ilivyoanza mkubwa na wanawe ndo kabsa.
Yamoto band
2026-10-31 09:05:56
0
𝗔𝗯𝗯𝘆 𝗦𝗵𝗮𝘄𝗻 ✓ :
😁namkumbuka sana alifeki ASLAY ila wimbo ulikuwa mzuri
2026-10-31 11:13:23
0
bebe reg🩵 :
kumbe kaimba huyu dah
2026-10-31 08:30:59
0
rittasemindu :
kitambo mnoo
2026-10-31 07:06:58
0
To see more videos from user @itssevenkona, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.