@magufuli.3: baba😭😭😭 #tiktok #fyp #freestyle #duet

Jitu baya
Jitu baya
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 21:40:14 GMT
36435
1519
79
46

Music

Download

Comments

vladmirmunis
️ :
We use to have a president
2026-10-31 07:55:03
0
henry.richard965
•HopeInJesus_Tz :
Daah Lord Reigns
2026-10-31 07:20:30
0
lyon270
GUNPLAY :
Katika kitu Tulipoteza nchi hii basi ni kumpoteza uyu mzee na kubakia na wezi na wenye roho mbayaa
2026-10-31 03:31:00
38
mancaster85
Mancaster :
Kumbe hadi wakenya tuliwasaidia
2026-10-31 03:43:30
10
bongoarchives
BongoArchives :
yani kupata kiongozi kama magufuli ambae anampa nafasi mwananchi kuongea na kumsikiliza kwa makini kama hivi kwa zaidi ya dakika 5 hakika tulipata kiongozi makini na mwenye huruma na masikini.
2026-10-31 08:02:20
2
pety.marck
Pety Marck :
Ila Tanga jaman ni kama hamna serikali kila mtu anafanya anavyotaka
2026-10-31 02:03:17
9
moreen.mtafi
Moreen Mtafi :
lala baba Huna baya Mungu akukumbuke ulipo
2026-10-31 07:55:18
1
immakhan1221
immakhan1221 :
yan nimetazama ih video wanadam wanaroho mby san uku dunian kwana uyo alikua anamsukuma uyo mama sijh anamzuia ad kwenye maelez ya uyu mama ndo maan ata wamemuua uyu mzee dah
2026-10-31 02:43:41
6
user6155247775475
Rich :
Rest in peace jpm
2026-10-31 03:53:57
4
zainabmrisho507
Zeynab :
yan dhulma kuoneana kunyanyaswa mwisho wa yote tunakufa mungu atupe matendo mema pesa pesa pesa, inapoteza utu kwa baadhi ya wenye tamaa
2026-10-31 06:54:20
2
manmoo65
man moo :
nimeskiliza hiii nimejikuta nalia
2026-10-31 04:48:27
6
user6107237933704
user6107237933704 :
mungu msamehe huyu Mzee alipo jikwaa,tumemmis sana mtenda haki magufuli
2026-10-31 03:30:30
5
sashamasamba
sasha🥰 :
nchi bila kidume haiendi
2026-10-31 04:46:58
3
zamzamlv8
zamzamlv😍😍😍 :
mungu akupunguzie adhabuza kablri [Crying]
2026-10-31 06:26:29
1
rasheed.ally14
Rasheed Ally :
mungu alitupa pigo watanzania
2026-10-31 05:55:36
0
mggilbert3
Gilbert Mg :
daaah imeniliza😭😭😭😭
2026-10-31 03:28:17
4
user376162469
Jacob Ezekiel692 :
ofisi ya dpp imejaa rushwa kushilikiana na police
2026-10-31 05:21:06
0
innotheboy7
INNO the Boy [email protected] :
Rais Magururi na ndugai wote wamelala yoooo😭😭
2026-10-31 05:35:44
2
mafisijazz
MAFISIJAZZWERITAP PAULINAH :
😭😭😭😭😭😭
2026-10-31 04:32:56
2
successbloody
Blood :
R.I.P shujaa wetu hakika tutakukumbuka kama ulivyo sema
2026-10-31 05:30:45
2
djwashington254
dj Washington 254 :
rip mzee
2026-10-31 03:02:04
2
isral9183
Israël :
chez-nous au congo directement en prison
2026-10-30 23:14:08
2
user7319126820929
user7319126820929 :
🥰
2026-10-31 01:19:28
2
mssantiag
Ms santiago🫂 :
hii crip kila nikiiona lazima nisikilize kwa makini nahuzunika sana kuondokewa na huyu baba
2026-10-31 06:03:19
1
sharifasalim33
shasafood8 :
😢😢😢😢😢dah
2026-10-31 04:26:57
1
To see more videos from user @magufuli.3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About