@almecky_tz: Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu, Dkt. Mohammed Ali Suleiman amesema hakuna tofauti kati ya mfanyakazi wa Unguja na Pemba, akisisitiza kuwa watumishi wote wana haki sawa na wanapaswa kutekeleza majukumu yao kwa ushirikiano na uwajibikaji. Ameyasema hayo wakati wa kikao na watendaji wa Wizara, Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA) na Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) kwa upande wa Pemba, kilicholenga kupitia utekelezaji wa majukumu na kuimarisha ufanisi katika utoaji wa huduma za TEHAMA. Baada ya kikao hicho, Waziri alitembelea Ofisi za Wizara pamoja na taasisi zake zilizopo Pemba ili kujionea mazingira ya kazi na maendeleo ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali. #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending
ni sawa ila kwa walimu wa Pemba tunavipindi 38 mpk 40 ila uko unguja walimu wana vipindi 18 tu. Hili mliangalie sana ajira zikitoka pemba msilete waunguja mana hawakai wanafanya kazi mwaka kisha wanarudi kwao na mwisho tunabak na uhaba wa walimu.
2026-10-31 10:25:38
2
mkubwa sulemain hassan :
asante🤣🤣🤣🤣
2026-10-31 12:45:09
0
kadii :
Mi nadhani pemba mungeendelea tu kutuacha kama mnavo tuacha
2026-10-31 04:37:04
0
mapesa :
cc wapemba letu jicho mkutano kwa munguu
2026-10-31 08:52:57
4
Abdul kadir Abeid Abdi :
shida ni Moja jaribuni manaibu waziri wawe na ofisi Pemba hapo ndio mtafatua changamoto na manaibu katibu ila wote hao ofisi zao zote ni Unguja. huo ubaguzi hautoisha
2026-10-31 05:42:21
3
Khalid Ally :
Mashalla mkuu wetu hayo ndio maisha
2026-10-31 09:04:30
1
ZFDC TV :
hapa ndipo ninachoka mie, waziri ila daaa, tabu sana . mafunzo sio Natuonal cake kuwa kila mtu ale, ni matakwa ya mahitaji ya Tasisi. sio ila mtu apate tu
2026-10-31 13:09:14
0
mohaa :
utofauti upo
2026-10-31 10:13:10
0
user41926667123685 :
hakika kamnda Aina ya viogozi wa Zanzibar tunataka km ww Allh akujaalie salam mweshimiwa
2026-10-31 06:36:54
1
HARAO MEDIA :
Hongera sana kiongozi
2026-10-31 03:59:55
1
user348685512148 :
Kwan Pemba hawana Sub Vote ya kimatumizi?
2026-10-31 05:52:09
0
SideSakhasa :
Zanzibar tunaongozwa kwa roho mbaya na chuki tu...
2026-10-31 13:55:17
0
rashid seif :
sio kweli,hayo ni maneno tu
2026-10-31 09:43:35
0
Salim :
Kuna watu hapo wanachukiya htr
2026-10-31 03:30:50
0
+-----------+=+×÷@ :
Mashallah allah akufikishe mbali zaid Dr.mohd
2026-10-31 07:54:11
0
ahmatar2023 :
Mashallah uyu ndio kiongozi tunae mtaka
2026-10-31 09:47:24
0
Ally Salum :
Safi sana
2026-10-31 07:34:37
0
@wido prince :
Kiongozi km uyu ni adim sna kumpata na suala la ajira pia liangaliwe sna
2026-10-31 14:18:56
0
mariam :
swadakta
2026-10-31 13:32:28
0
massuo :
inachekesha[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-31 08:59:29
0
PANDIDO :
asnte kwakutuona na ss
2026-10-31 07:08:24
0
F B I ☠️ 26 :
Uko sahihi bro
2026-10-31 06:47:36
0
Khamis Wetu :
Aaaaah!! kweli lkn au leo upo pba tu, basi wacha tuone coz kuna mambo mengi hayapo sawa kwa unguja na pemba maybe kwako wacha tuone, nimekaa pale Ole!!
2026-10-31 06:35:24
0
Omofia Kwenu :
asante
2026-10-31 03:35:30
0
To see more videos from user @almecky_tz, please go to the Tikwm
homepage.