@ww.walikwamame.com:

WEWAIMANI
WEWAIMANI
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 31 October 2026 03:35:39 GMT
4320
276
30
20

Music

Download

Comments

iftikhar_2020
🇰🇪 🇦🇪 🇶🇦 طبيب القلب🫀 :
umesikia wapi ikisemwa Twarika ni dini???
2026-10-31 06:26:14
2
user9101838360850
sana weeh :
mashaallah brother wewa haina come back hiyo 😅😅😅😅
2026-10-31 04:34:52
0
karambwanda
Dongosinyo :
mashallah Allah azidi kukupa ujasiri km rijal
2026-10-31 05:10:10
2
abubach46
user987761744865 :
Mash Allah Brother Umesema haqqi. Hakuna Twariqa katika dini ya uislamu . Uislamu ni Quran na Sunnah. Allah Atawapa ushindi kwa misimamo ya haqqi Bi-idhniLLah
2026-10-31 04:53:30
3
binomar123
@binomar% :
right bro..
2026-10-31 04:47:17
0
huzay140
BEY005 :
hae siku hzi fatwa hutolewa na wasela ulimwengu umekwisha hizi ndizo zilo zama mungu atupe mwisho mwema
2026-10-31 06:39:38
0
shermsshafy2
ABUL MUGHYRA شمس شافعي :
mpe babangu mpeeee badooo hoooo
2026-10-31 04:33:46
1
fahmisagar5
A.SHUAYB :
Santa bawa ukweli utanenwa tu.
2026-10-31 04:04:27
1
mambo.yana.mungu
mambo yana mungu :
muhaji Ndungu yangu tusikaeni kutukanana sisi kwa sisi huo ni utoto Mungu alisema llah yukalifu llahu nafsan usijikalifishe kile ukionacho wakiona ni sawa hupati dhambi fanya ndio alio twambia Mungu na kama wajua nimakosa ama kitakudhuru usifanye utakua uko madhambini
2026-10-31 05:26:51
0
lamutamu05
Lamu tamu 05 :
kusema kweli brother umeongeya kweli na ni point zote innshaALLAH kuliambiwa kulukum rai wa kuluku masuli Anrayati
2026-10-31 05:50:40
1
user6561091407418
sombwana :
mwambie wewa
2026-10-31 04:32:08
0
user1610226037787
Wings of hope :
Uko sawa bro.Ata cc kwa Biblia inasema ,tusizidishe wala kupunguza maneno ya Mungu
2026-10-31 05:23:25
0
wainkutum
wainkutum :
kuvua nao ni Sunnah wewa
2026-10-31 06:04:23
0
shermsshafy2
ABUL MUGHYRA شمس شافعي :
ameyakanyaga
2026-10-31 04:36:10
0
kassow6
Qassim Jahadhmy :
أنا لله وإنا إليه راجعون…masela nao pia wamekuwa hutowa Fatwa
2026-10-31 05:32:33
0
onlyabukhairun
Wakisela45 :
kabisa wewa waangalie tu ardhi ya mskiti iko wap kwa franginii othe ilkua community moja
2026-10-31 06:34:34
0
mambo.yana.mungu
mambo yana mungu :
kisha Mungu hasahau chochote kama alivyo twambia llah takrabu zina na hilo twari alipo karibishwa nalo mtume madina kama ingekua nimakosa Mungu angekataza mtume hakupiga twari ule wakati ulikua wa upanga juu na mimi sijasema haya kua napigania kati ya maneno yenu hukusu msikiti sai haki iko mujahid twendeni tukasmamisheni haki tusikae tukitukanana sisi kwa sisi twachekwa sisi
2026-10-31 05:30:51
0
abuu.junyd
@ abuu junyd :
nthikichi si wa mungu au ni wa nani
2026-10-31 04:46:26
0
wainkutum
wainkutum :
havo twarika havaandamii Sunnah na qur'an
2026-10-31 06:05:30
0
istiham55
istiham55 :
wape pawe vidonge vyao wakimeza wakichema shauri Yao msikiti lazima ufunguliwe msikiti ni nyumba ya mungu si wa watu binifasi
2026-10-31 05:42:02
0
abusmaz
abusmaz :
هَلۡ یَسۡتَوِی ٱلّذِینَیَعۡلَمُونَوَٱلّذِینَلَا یَعۡلَمُونَۗ kusoma kitu muhimu na kabla hujazungumza angalau pitia mwanzo
2026-10-31 05:36:12
1
wainkutum
wainkutum :
ndoo ufungue, binkaimu ni twariqa ama
2026-10-31 06:06:50
0
a.b.n.a.a.h.m.e.d2590
Abna Ahmed💗 :
Lkni sababu sio matari,Sababu ni ukosefu wa dini.
2026-10-31 05:17:44
0
mohorijosphat.che
Mohorijosphat Chege Chege :
Nchume s a w alinyoa kiduku hapo huyazidisha
2026-10-31 05:11:27
0
.__lifewithshamyy
L A S T B O R N 🇨🇭🇸🇴 :
amechumwaaa 😂😂
2026-10-31 03:58:36
0
To see more videos from user @ww.walikwamame.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About