@wamzi_tz_: Dah Dogo akaongea kwa maumivu sana, hii yote ni kukosa njia halali ya kujikwamua kiuchumi 😔😔😔 Ukisefu wa maamuzi sahihi ya kutafuta fulsa halali, ndiyo matokeo yake haya. Kweli maisha ni magumu lakini Mungu atusaidie kwakweli #JamiiYenyeMaadili #FREEDANCECHALLENGE #NIKOHAPAMPENZI #viral #funny
MWANGOMO 🇹🇿
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 04:53:48 GMT
Music
Download
Comments
Yasini Abadi :
msema kweli ni mpenzi wa mungu ishi maisha yako kaka na mungu akunusuru na mabaya yasikupate #mungu wetu sote
2026-10-31 14:07:40
3
Babe jasmine😘 :
We utajua mwenyewe kikubwa me Naishi maisha yangu
2026-10-31 12:06:09
8
Titan :
unadhani alikosea kuzungumza hayo maneno?
2026-10-31 13:08:48
4
꧁𝕞𝕒𝕣𝕚𝕖꧂ :
Me kaniambia twende tukafanye kazi me mwenyew mtu wa kazi sina hela niache kazi Siwezi nikaacha kazi
2026-10-31 15:27:06
1
Almamir :
mi mtu wa kaz🥰
2026-10-31 13:11:28
2
Challe :
ndomaixha yetu ayo
2026-10-31 13:08:06
1
Draick Bavon :
Elewa neno maslai binafsi.
2026-10-31 14:59:00
1
Myla3000 :
memwenye mtu wa kaz
2026-10-31 07:55:19
3
Agape 😍 😊 :
sina hela niache kazi
2026-10-31 16:40:47
0
Dj Kb :
sawa Sawa brooo
2026-10-31 12:02:33
1
DIOR JAX 7 :
Me mwenyewe mtu waka
2026-10-31 09:21:11
1
v van boy from njombe :
me ni mtu wa kazi siwezi kuacha kazi
2026-10-31 10:43:43
0
𝑬𝑳𝑰𝑺𝑯𝑨 𝑪𝑳𝑨𝑼𝑫𝑰𝑨𝑵 :
𝑺𝒊𝒏𝒂 𝒏𝒊𝒂𝒄𝒉𝒆 𝒌𝒂𝒛𝒊𝒊😂😂😂
2026-10-31 07:04:45
0
Duke 45 :
watajuwa wenyewe
2026-10-31 10:13:01
0
👤 :
Hela sina Kazi Sina 😁
2026-10-31 10:23:34
0
jackson Tz :
uhakika
2026-10-31 10:03:09
0
imu boy1234 :
amin family
2026-10-31 10:01:11
0
Kusini boy :
ety kutokana na masilai yangu binafsi
2026-10-31 17:52:43
0
Mamaa♥️🦋 :
😂😂😂namkubaliii
2026-10-31 09:27:44
1
elasto :
kwani viongozi hawavunji Shelia mbona wanaiba sana tuuuuu
2026-10-31 08:55:06
0
addonai45@$ :
cmamia mcemobwako
2026-10-31 13:46:32
1
youngboy_900 :
Naiba kutokana na masilai yang binafs
2026-10-31 13:03:30
1
thesun 🌞 :
kikubwa me naish maisha yang😁😁😁😂😂😂
2026-10-31 08:48:20
3
🍁M Ä C H Ä N K Ü L Ä" 4️⃣5️⃣" :
nikifa siachi kazi
2026-10-31 11:25:17
1
To see more videos from user @wamzi_tz_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.