@madam_leila: Wakati mwingine, kinachokukwamisha si kukosa uwezo, bali kukosa mtu wa kukuamini. ❤️ Kuna wakati nilipata kazi ambayo kwa kweli sikuwa na sifa zote zilizohitajika. Kilichonipitisha kwenye interview ni uwezo wangu wa kuzungumza Kiingereza. Mengine mengi sikuwa nayajua, lakini mtu mmoja aliamini ninaweza. Nilipewa nafasi, nikafanya kazi na nikafanya vizuri kuliko hata ninavyofanya sasa. Kwa nini? Kwa sababu kuna mtu aliamini ninaweza kabla hata sijajiamini mwenyewe. Usimdharau mtu kwa kile asichokijua leo. Wakati mwingine, anachohitaji siyo kukosolewa, bali kuaminiwa na kupewa nafasi ya kuonyesha uwezo wake. Na wewe, umewahi kubadilishwa maisha na mtu aliyekuamini? #viralreelsシ #fypシ #fypviralシ #fypシ゚viralシ #fypage

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 05:21:03 GMT
12421
1739
22
91

Music

Download

Comments

j.m.m19
COASTERIAN :
it's true ...there was a problem and my Boss told me ww ni engineer wajua cha kufanya Just that na i was able to solve the problem
2026-10-31 18:58:32
0
rhizo.41
Rhizo 41🌀💧 :
wa kwanzaaa mm nkukubaliii
2026-10-31 05:24:05
6
user1833329247338m
ashrafii :
madam Leila nakupnda sana smart lady ..Allah akubarik zaid
2026-10-31 09:28:04
2
devenuschao
@devenus. official chao :
nice[Red heart][Red heart]
2026-10-31 05:25:09
2
nillah331
Nillah 131 :
@monica atokwete kichogo popote ulipo tutafika mbali dada
2026-10-31 12:55:12
1
eysanking
lee :
kwa hali hii bado sina rafiki zangu wotr waoga... uyo mwehu mwenzangu nlompata nae matatizo tuu 😂
2026-10-31 09:04:19
2
mcfda1
MC F@DA :
Ni Kweli madam nakupénda Yani🥰
2026-10-31 18:47:35
0
muubbygideon3
muubbygideon :
yaan ni kwel
2026-10-31 07:00:18
1
user370340557
Samiya :
kweli
2026-10-31 06:23:25
2
perisbigo
peri bog :
nikweli dada,Mimi hii biashala nilafiki angu aliniambia kwanini tusifanye hii biashala tuwe wote,kiukweli namshukulu mungu kwa akili yayule dada hd kesho namshukulu sana,watu wema wp,
2026-10-31 18:45:29
0
habibsharif650
Habib quad zanzibar :
madam Leyla
2026-10-31 07:08:46
1
riziki.salim8
🦋Kauchimbe tena back up🦋 :
madam hakuna marafiki wengi wameja hasadi na unafiki
2026-10-31 13:51:12
0
marthalingsonmuyo5
Martha lingson Muyoba :
mala nyingi malafiki hugeuka kuwa wasaliti mweee ni huzuni kwangu
2026-10-31 14:59:07
0
rumaysahkaiss
🦋RUUH..🌷 :
kweli
2026-10-31 05:35:59
1
asiah9688
Asiah. :
@major🥰👨‍👩‍👧‍👧
2026-10-31 07:03:43
1
wondersshabysendly08
Wonders❤️🦋 :
@lastborn girl 🌸🦋🌹 kchogo wang ajawah nikatisha tamaa Ana nisupport hata kwa Jambo lisilowezekana kwa wakat huo
2026-10-31 09:08:44
2
mamieonjones
mamieonjones 🇰🇪🇴🇲 :
@Azyzer Mlunger
2026-10-31 06:53:34
1
fatmah923
Fatmah🥰🥰 :
🥰🥰🥰
2026-10-31 05:32:53
0
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About