subhanallah this is so sad and dangerous..leo ni nabil kesho ni mm au ww. Imagine mtu ana chuki binafsi na ww au family yako aone how well something like this worked and stirred people's emotions,aamue kukutengezea na ww plan kama hii or worse. Watu wa mombasa be open minded dont be sheep and believe whatever u see or hear before carefully assesing the situation and the facts. Think independently dont follow the crowd and dont come to conclusions based on emotions only. Justice for Nabil and justice for Farid family in general! kataa urongo kataa,kataa bigotry kataa,KATAA DHULMA KATAA!!!!
2026-10-31 13:59:29
4
ahmed🏳️||احمذ :
leta evidence pia ww don't just defend him
2026-10-31 06:33:36
29
Truthful man :
swadakta ,you are a true Muslim , better together we stand for the truth not on hearsay
2026-10-31 06:32:40
23
BAB SALO :
lakini habari zake zipo kitambo
2026-10-31 06:57:50
20
Rash Rash :
ni brother wako vp huyu Nabil mbona wamtetea
2026-10-31 08:14:01
14
jelly :
uliza ni kesi ya ngapi ikiwepo mashtaka hyo hyo.
mbona awe anasingiziwa yy tu?
2026-10-31 07:49:04
10
Sajjad :
Allah atamnusuru mja wake na Allah hasimami na madhwalim,Inshallah kama wamemseti basi mungu atamhifadhi
2026-10-31 06:36:40
13
Arya_Aurora :
Finally, someone has spoken 👏
2026-10-31 10:59:15
5
khadijaomar464 :
wacha kutuharibia kesii nabill ame mm baka ushahidi àta mpelekaje mtoto kizingo kwenye faraghaaa wacha mengii weeee
2026-10-31 09:59:45
6
mama de mama :
that young boy deserves respect and dignity .by wanting to prove a point must you say he is a chokoraa or kurandaranda .? let justice prevail
2026-10-31 06:30:01
10
❤️😍 :
Maneno yako Makes sense too
2026-10-31 09:20:51
5
akukudanger :
kisha kama kweli mbna wangojea part 2 tuko netflix series😄
2026-10-31 08:15:59
5
Dr Abed yunus :
THE BIG QUESTION IS HOW DID NABIL REACH KIZINGO ON THE CRIME SCENE,HOW DID HE REACHED THE STREET KID ?AND WHAT DIAGNOSIS R U TALKING ABT THAT NABIL HAS WHICH DOESNT HAVE A NAME TO JUSTIFY UR WORDS???
2026-10-31 11:43:48
0
user148 :
asante sana mesh hao watu walikua na chuki sanaa maneno yako ya kweli sana Muhammad Kher owe nabil and his family a public apology and also afunguliwe defamation case kwa kueneza vitu bila evidence .
2026-10-31 06:53:36
10
Shamima🥰Haddad :
Urongo gani ww nae hapo umetripu broo…. Mombasa ndio mna ujinga sana hamuna maendeleo
2026-10-31 13:56:44
0
LadyFf :
Mungu atasmama na hakii waowatasema ooh zimetumika pesa kumtoa lakini hakuna cha pesa ni Allah anasmama na haki na In shaa Allah pia hii atadhihirisha hakki kama hatujamshuhudia tusihukumu kuiga watu.
2026-10-31 07:53:38
6
Abu Nasra :
nilijifunza kutomhukumu mtu bila uchunguzi wa kina.
2026-10-31 06:18:58
6
X0x0._ :
Hakika Allah hasimami na madhwalim Inshallah kama wanajaribu kumdhulumu basi hawatafanikiwa🤲
2026-10-31 06:48:34
7
user8287315546881 :
wajua nabil alifikishwa vp central police wacha kupost kabla hujahakikisha bro
2026-10-31 12:47:29
0
umm hassan :
Nikuulize we mesh the unstoppable ulisema ulisilimu please kutoka kabila gani? Wakaa muarabu au mgunya
2026-10-31 11:13:08
0
Dr Abed yunus :
N HOW DID THE KID N STREET BOY KNOW THAT NABIL IS GOING TO DROP SM1 AT EXACT TIME AT KIZINGO?
2026-10-31 11:59:54
2
ALKAMAAR ONLINE MARKETING :
kesi ya mara ya kwqnza ni ya nn ya nabil Alipo shikwq nayo
2026-10-31 07:32:42
4
kmila :
basi kila mtu kesi si hiyo peke na mbona ni yy tu
2026-10-31 11:26:07
0
fatma :
mbona alitoroka Na kuacha tuktuk
2026-10-31 10:59:12
1
Truthful man :
Waaa hii kesi vibaka navichuzi wataumiya,CCTV,safcom kiboko ya wanafik
2026-10-31 10:20:29
4
To see more videos from user @mesh.abdulrazak, please go to the Tikwm
homepage.