@temcare26: #duet #kenyantiktok🇰🇪 #trending #fyp #foryoupage

Temcare
Temcare
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 05:57:26 GMT
40327
995
18
23

Music

Download

Comments

sheby.118
Sheby :
kila nafsi itaonja umuti2 ata ukiwa auna maradhi
2026-10-31 16:49:03
12
rehemashamsi395
Rehema Shamsi :
nikweli kaka 👏 upo sahihi
2026-11-05 09:23:25
0
lightness6634
lightness💕 :
ww na nan,
2026-10-31 17:24:26
1
dullypweza
Dully pweza :
kiukweli dawa za kupona zipo, na kwanini tunashindwa kuambiana ukweli zinaa ipungue
2026-10-31 21:03:27
2
brathe999
brother 999 :
Acha kupoteza watu ww mtu anakufa kwa mda wake ukifika ua anakufa waimizw watumie tu dawa walio asilika ila kuhusu maisha ayo ni ya mumgu na wakati wake mtu ukifika
2026-11-01 07:08:40
1
johnsam354
johnsam💪♥️ :
U=U
2026-11-03 12:35:19
0
aliwaja.mkumbo
Eliwaja Nkumbi :
nikweli kuna dada alipata mwaka 1997 yupo mpaka leo na yuko vizuri wala haonyeshi kabisa .
2026-10-31 16:53:42
0
mwajumamijinga571
Mwajuma Mijinga :
sure
2026-10-31 19:21:05
0
blessedsonymwanda
BLESS :
mmmh
2026-10-31 13:26:18
0
lagos2dar
logos 2 dar :
Nyie jifalijini tu mmeacha kupiga kampeni za kujikinga saii mnapromoti sio
2026-10-31 07:24:37
3
richardkac
Rich wamauzo :
kumbe kwauchunguzi kalibuni kumbuka hapo katikati kunaneno kuishi kwamatumain
2026-10-31 20:59:25
2
thomasmwakyanjala
Tonlee260 :
kma mwenye HIV atumii dawa je unaweza ishi nae
2026-11-01 15:23:36
1
rahabnjeri187
lucynjeri :
mwenye hana hiv
2026-10-31 20:13:54
1
ismail.komanya
ismail komanya :
acha uongo
2026-10-31 07:18:36
1
hamidallars
Hamidallars :
dawa kwa muda mrefu zinauwa figo
2026-11-01 08:46:14
0
william.lilai
Gaming Pl♡tnumz🎮 :
wanakuchota nini 😁
2026-11-01 01:12:32
0
nulaty.ibrahim
n@n@ cute🦋🦋🦋 :
tutajuaje naww kama mzima
2026-11-05 14:29:52
0
To see more videos from user @temcare26, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About