@living_magic_store: Usiwe na marafiki pia simaanishi utengeneze maadui,binafsi siioni sababu ya kuwa na marafiki#ticktocktanzania🇹🇿 #ticktocktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #storytime #kenyantiktok🇰🇪
bora naishi mwenyewe kama mchawi nikiwa bored mziki faraja yangu
2026-10-31 07:52:14
76
ney :
ndomana mm naishi mwenyew na najiamini zaidi nikiwa peke yangu
2026-10-31 07:16:36
47
amneyngowi :
Siyo marafiki tu jmn hata ndugu ni kuomba Mungu tu atuepushe
2026-10-31 07:14:26
53
binti courageous💪 :
Kuna muda kuwa introvert nayo ni faida kwa kweli
2026-10-31 06:48:43
47
️Cleo :
Ubinadamu kazi jmn hata ndg sio wa kuwaamini tena💔💔💔💔
2026-10-31 07:54:35
17
Halima Tz 🇹🇿🇦🇪 :
kwer brother
2026-10-31 14:28:38
0
SAM GRAIN SUPPLIES :
wanawake hawapendani sijui kwanini wanachukiana bila sababu za msingi
2026-10-31 09:38:59
6
Ms_ginah🌸 :
Well said❤️🙌🏼
2026-10-31 13:23:23
0
user367259301803 :
nashkuru sina rafiki
2026-10-31 12:34:10
6
💍Am_fifi🫂❤️ :
Kimeniramba mimi kaniharibia mahusiano yangu jaman sitaki hata kuwasikia🥹🙌🏽
2026-10-31 07:15:43
16
ashura wa pakei :
it's true
2026-10-31 11:16:34
0
Nasra Shilla🇹🇿 :
Exactly
2026-10-31 13:05:09
0
Janepraise Jackson :
Sina rafik. Ila naongea vizuri na watu hilo tuu
2026-10-31 11:12:39
5
am zeymana 🌺 :
Wateja wangu Ndo marafiki zangu coz wananitia nguvu ya kutafuta hela na wazazi wangu ❤️👑
2026-10-31 09:12:13
7
JAY PAUL :
sasa kaka mbona unataka kulia
2026-10-31 08:09:07
17
rmmrahel mdou :
mimi wananisema najisikia,na nitabaki hivyo siamini mtu na sina rafiki.
2026-10-31 07:41:26
13
user7271184507446 :
Sina marafiki Wala ukaribu na ndugu
2026-10-31 11:26:20
5
zainabu292 :
najua haiwahusu ila mimi sina rafiki sijui nina roho mbaya ama ni niniiii
2026-10-31 12:37:13
5
Naynah Vitalis :
Mimi sina rafiki and i’m so haappy
2026-10-31 07:25:53
12
tatuu beauty saloon :
Acha waseme naringa lkn sitak marafik mm 😏walinifanya niwe na maisha magumu sana
2026-10-31 07:40:14
11
Tee🥰 :
İnategemea inestimable?marafi Ndio watu huwa wanatuchangia pia tukiwa na majanga,na kuna watu wamefanyiwa mabaya na ndugu zao,tuwe tu na kiasi kwenye huo urafiki tubalance
2026-10-31 09:39:20
5
To see more videos from user @living_magic_store, please go to the Tikwm
homepage.