@veriafya: Haya yalisemwa na Dkt. Godlove Mbwanji, Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, akizungumza katika mdahalo wa “Waandae Watoto wako katika Dunia inayobadilika” ulioendeshwa na Hospitali hiyo. Video: MZRH

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 05:57:52 GMT
14055
383
15
100

Music

Download

Comments

rimoratz
ummy nairah🥰 :
wangu ukimkemea anakwambia nimefanyaje
2026-11-09 08:47:12
2
marthaelectricalshop
Martha electrical shop :
wa kwangu huyo
2026-11-09 20:03:10
0
zara84526
Zara❤️ :
Ananiulizaga mimi awa watoto sio wakufokewa wala kuchapwa chapwa ovyo. Wanauelewa mkubwa sanaaa
2026-11-09 11:51:31
1
mariarange377
Maria Range :
Mimi wangu ukimtukana analia hakiii nachoka mimi
2026-11-09 12:12:05
0
ellypallangyo860
Elly Pallangyo :
hakika ni kweli doctor 🤣
2026-11-07 19:05:01
1
mukamanaange622
mimi :
asante rakini ukiacha kufokea mutoto anaharibika saana
2026-11-09 08:52:17
0
beathaasante
beatha asante :
wa kwangu yupo na 3year nikimfokea anasema nimechoka kelele nataka kulala Mimi hasira sasa
2026-10-31 16:04:27
1
user296560607
Tiffany :
yaani mimi uyo naongea mpaka nachoka jamani nifanyaje nisaidie tu
2026-10-31 21:08:18
1
user4265312935694
user4265312935694 :
mimi ndo wakufoka ila wanangu huwa wanasema mama sio mkali ni sisi tunamkasirisha
2026-10-31 11:03:38
1
dr.herman.hd
Herman HD :
watoto wa siku hizi wanaakili sana. mfano hata wanavyojifunza computer na simu
2026-10-31 06:58:54
0
love.lee051
love lee🖤 :
me ananiambia mama pole alafu ananikiss😂😂
2026-11-06 09:26:13
0
beatrice.majija
Beatrice Majija :
Mmi naambiwaga..Mamaa tulia,pumzika kwanza..Utaumaa tulia..!! Mungu wangu!!
2026-11-01 04:57:42
0
oscarbubge
oscarbunge :
UKO SAHIHI SAAANA
2026-10-31 09:19:56
0
beatrice.majija
Beatrice Majija :
Asante kwa Ushauri..
2026-11-01 04:58:35
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About