mm nimefanya uchunguz nikagundua. kadri ninavyotoa ndivyo ninavyopata.
2026-10-31 11:19:26
90
Rachel :
sisi wateule MUNGU atusaidie
2026-11-07 11:41:44
1
Junior :
3M inaisha within two weeks na sijui imeishaje🥺
2026-11-06 21:50:21
1
Mariam Hamis🧜🏾♀️🧜🏾♀️🌊♓️ :
Sasa mm naomba dada unaonaje uanzishe group la wateule tue tuna kutana sehemu wanawake na wanaume ili tujuane labda tuna weza kukutana ss kwa ss tupate upendo wa kweli na pia tuangaliane je tuta chukiana , upweke wengine umetufika utosini ebu tujaribu ili jambo ombi tu 🙏🏾
2026-10-31 10:12:36
54
Nyamongo Da G collection :
Bn nikizidisha maombi kila siku ndio magumu yanaongezeka au niache tu...lkn Moyo unanisukuma kila siku omba omba
2026-10-31 10:03:16
39
SAVAGE :
kuna siku mtu unaamka una vibe ile mbaya😂😂
2026-10-31 07:37:41
33
MAYA HOME STORE :
saiv najiskia kukaa kimyaa tu
2026-10-31 16:20:59
28
on mission :
that's true
2026-11-05 16:24:34
1
Nkinda food point chanika :
I'm chosen one🥰🙏
2026-11-05 19:51:18
0
ishengoma :
nateseka sana mmi uruma nagawa pesa kweli kweli kweli
2026-10-31 09:00:08
12
mellwood🥷🏿 :
Unniongelea mm kbs
2026-10-31 06:33:09
17
Musa MourinhoTz :
Sister devota kwanini chosen one wanasumbuliwa sana na jini mahaba yani ni kwanini jini mahaba na chosen one
2026-10-31 15:50:09
10
DiceDPM :
Pesa aikai au kugawa hovyo sababu ya roho nzuri unatoa tu hata kama umebakiwa na kidogo na watu wakikusoma watakuja kukuigizia wana shida kumbe muda mwengine awana, unagawa pesa na unashindwa kutunza sababu huwa ukosi hela ya kula hata iweje utakula tu, yaani hata itokee nini suala la kula kwako ni lazima ni kama kuna malaika ametumwa kukufanyia hilo hivyo ufikirii kesho. Wengi wetu tunaanza kutafuta kodi ikishafika wiki kabla ya kodi kuisha ndio unaanza kupambana na unapata🤣 Kwahiyo imekua kama jeuri fulani kwetu lakini ni madhaifu. Hapo kwenye hasira ndio shida, ku a muda una panick vibaya sana saabu either watu awakuelewi na upo sahihi au watu wako wa karibu wanakufanyia mabaya kila siku wanarudia unaona ni makusudi. Chosen akikasirika anaweza kukuropokea neno likakuvuruga siku nzima 🤣
2026-10-31 06:53:38
12
bievenue :
Mimi Nina upendo lakini mbna mtu akinikosea au nikigundua ana nichukia Mimi namchukia zaid na sifichii namuonyesha wazi wazi ata wanasema Nina roho mbayaa??niko sahihi?
2026-10-31 07:35:55
10
AFREEKID :
kwangu ni 200%
2026-11-07 08:54:12
1
Nchambi :
hatudanganywi tunaona na tunaweza pretend kama umeniweza kumbe umejiweza mwenyewe 😳...tuna maamuzi magumu
2026-11-01 06:50:36
6
Esther Vicent :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Ni Mimi kabisaa
2026-11-06 22:15:38
1
Monalisa Mushi :
umenisema kila kitu mimi usiniseme tena😂😂😂😂
2026-11-03 13:11:11
1
agneswilliammndal1 :
uwiiiiii
2026-10-31 22:06:25
1
Benedict :
n mm
2026-11-06 20:21:50
1
Giannah Products🦋❤️ :
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-11-05 11:27:29
1
maimuna og! :
mbona umeniongerea mimi kabisaa hapa najiona mimi
2026-11-06 18:16:40
1
Enock Makoga :
ukweli mtupu
2026-11-02 09:12:21
1
R MAPAZIA YA KUSHONA DODOMA :
nikwel mumewangu ananiita mam hurum
2026-11-07 11:35:16
1
Undifinable :
Sikupingi🥰
2026-11-06 12:27:07
1
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.