@rebams_tv: pasta amewataka waumini wake wasitoe sadaka Kwa kutaka kumfurahisha Huku maisha yao yakiwa sio mazuri.#fyppppppppppppppppppppppp #viral #kenyantiktok🇰🇪 #imani #tanzaniantiktok🇹🇿

REBAMS TV
REBAMS TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 06:37:50 GMT
28046
1269
57
116

Music

Download

Comments

zakayomwana
zakayomwana48 :
nmtego uwoo jaman
2026-11-25 06:07:32
3
oshoka283
Oshoka@28 :
yuko wp mm nianze ibada sasa
2026-11-25 06:30:53
4
enockelias220
Enock Elias :
huyo ndo mchungaji tunaye mtaka sisi ukweli kaongea
2026-11-25 06:23:15
3
nocapboy95
No cap boy :
Hili kanisa liko wapi maana linanifaa sanaaah
2026-11-25 04:50:19
10
cute64831
💗PINK WITE💞💞 :
huyu mchungaji mbingun moja kwa moja🥰
2026-11-24 18:28:53
26
user6307404290088
man :
nani ana connection ya ii kanisa maana naona naenda kununua suti kabisa
2026-11-25 05:38:57
4
kgm0044
@Subject 01💦 :
wapi hiii😂😂😂😅😅😅
2026-11-25 06:10:18
1
norbertntibezinda
:JUNIOR: 🇹🇿N🇹🇿 :
mchungaj amenyooka sana sis Genz ndo tunamwelewa mchungaji
2026-11-24 14:24:30
15
joveehelen
joveenhelen :
this's the one
2026-11-23 17:25:41
0
silvesterroney1
silvesterroney :
mnaweza niambh sadaka zinaendaga wapi?🙏🏻🙏🏻
2026-11-24 22:40:22
0
user8238007623407
zereshi :
hyu ndo mchungaji
2026-10-31 17:59:40
24
mabela472tikto
IMMANUEL TZ :
wateja unawafukuza
2026-11-24 17:41:17
1
breeze.ze.kalenz
breeze Ze Kalenz :
hili kanisa lipo wap
2026-11-01 08:32:48
3
berthanyaiti
Bertha Nyaiti :
huyu mchungaji nimempenda bure
2026-10-31 12:57:03
7
sirlim.abuu
Sirlim Abuu :
iko wapi hii temple
2026-10-31 11:53:09
4
therealmagembe
Leadershippodcast :
kwani hili kanisa lipo wapi?
2026-11-21 04:20:27
1
zalabana
Master Z :
mpaka Sasa mm ni muumin wa huyu jamaa anitumie nauli nifike alipo😂😂
2026-10-31 20:09:36
2
user1109431031636
LizzyModric :
Hilo kanisa liko wapi nihamie tuu maana hata nimeacha kusali kisa wachungaji matapeli wasio kuwa na huruma
2026-11-20 09:02:17
1
queenlione17
Queen Leo :
huyu ndie aliyetabiriwa ☺️☺️☺️☺️
2026-11-24 16:54:09
8
aikande26
Anelora💚 :
Wap huku nije niwe mshirika wenu.😅
2026-11-01 12:25:10
1
banya935
Banya :
unawateka kifkra vizuri
2026-10-31 18:45:21
1
vmillan50
v#millan :
hapa ata mimi nitatoa sadaka kwa moyo😁
2026-10-31 19:22:20
1
shakeyler
shakilamtulya :
kwa mara ya kwanza ndio naelewa
2026-10-31 16:52:53
1
kp95166
kp :
Yuko poa saana
2026-10-31 18:04:21
1
brightonmakoye
mcolombia miner. :
nice 👍
2026-11-25 06:14:04
0
To see more videos from user @rebams_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About