@dr.kiruke: ⛑️Kuna vyakula mbalimbali vinavyoweza kusaidia kupunguza hatari ya kupata saratani ya matiti (Breast Cancer)⚠️. Vyakula hivi vina virutubisho kama nyuzinyuzi (fiber), vitamini, madini na antioxidants vinavyosaidia kulinda seli za mwili. Niaina gani ya vyakula? TUMA NENO Nijuze #unitedstates #cancer #cancerfacts #foryou #loveyourself