mashaallh nimependa upo smati Wala uringi niwatakie safari njemaaaa
2026-10-31 13:44:54
1
amiri mdoe :
sio kampuni kweheshima tunasema taasisis ya usafirishaji
2026-10-31 07:33:12
2
BAbyMAmaTZ🇹🇿❤️ :
Dar Makambako hamuendii
2026-10-31 13:06:18
1
chuma :
Nikiona tangazo lenu nawambia ukweki kzingatii mda wa kuondoka hii tabia acheni hasa tanga dar sio kutoka tabga wala kutoka tanga dar jana gari ya saa tisa mmetuondoa saa kumi ijumaa nulikata ya saa nane kwenda tanga mmendoka saa tisa na nusu hii tabia mbaya alafu majibu yenu changamoto
2026-11-02 06:15:33
0
Meena Ally🦁❤️❤️ :
nafasi za kazi hakuna ,
2026-11-02 07:00:49
0
mimi sio wenu :
kuna mademu
2026-11-02 06:33:31
0
zaynab bakar :
saman dad tanga sio jiji tanga nimkoa
2026-11-02 07:39:08
0
To see more videos from user @urafikibuckup, please go to the Tikwm
homepage.