bro nakukubali sana tu una madini ninayo penda bro kazi iwe njema kaka tunaonfeza ck za kuishi 7bu tume onyesha meno
2026-11-13 10:53:29
0
Manash Toto beb :
mm nacheka tu nkikuona broo
2026-11-14 06:41:59
0
ARCHIPE ARVI :
Awa ndowatu ambao wanastaili sapoti
2026-10-31 18:06:10
0
sapwipwi :
ndo mwalim uvae mzura SERIKALI Iko wap
2026-10-31 12:09:47
0
nuru :
ole wako uniroge
2026-11-23 05:31:18
0
De Chalkey :
hiyo ilnikuta kipindi niko Field, kaja mzazi saa tano usiku kamchomoa mwanafunzi bwenini anasepa nae,, nikamsimamisha na kumuhoji,, eeeh bwana weee alifungulia Turbo ya maneno kama tumewahi kuonana sehemu, na akamalizia kama nina cha kuhoji zaidi basi nimuhoji Mkuu wangu wa shule atajibia😂😂😂😂 shida sana aiseeee
2026-11-23 18:29:03
0
Roseminer@@@@ :
🤣🤣🤣🤣🤣ila huyu mama anateseka kwa mitama
2026-11-23 17:38:25
0
goba onina :
chdipti05
2026-11-21 18:44:24
0
Daud Yohana :
kama ndo mzazi😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-02 20:50:47
0
Aleki mood :
🥰🥰🥰
2026-10-31 12:08:43
1
Leon Mambo :
😁😁😁
2026-11-21 09:27:37
0
mussa kante :
🤣🤣🤣
2026-10-31 08:09:47
0
To see more videos from user @vadofilm, please go to the Tikwm
homepage.