@mzalamo_mashilingi: simu za MKOPO Zina MAJINI 😂😂 #comedy #tanzaniatiktok #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ゚

AI.mzalamo_MASHILINGI⛎
AI.mzalamo_MASHILINGI⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 07:37:59 GMT
48254
1888
230
70

Music

Download

Comments

shadyadastani
shadya :
bola useme wewe [Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-03 12:26:08
0
ericksaturmin745
Allasusu :
me nlibakisha wiki ikapotea 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-31 11:28:13
30
safinia3chaupole
NIA❤️ :
inaibiwa ukimariza 😂😂😂😂😂
2026-10-31 22:52:44
1
mchinamweusi52
mishi layna ❤️❤️❤️ :
kwel jaman kaka bola uwaambie ukwel mana daa
2026-11-03 15:39:58
2
mwajumamohamedi90
mwajuma mohamed mkolo :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 matuzo kaka mbn yang ipo bd ni mpiya ya mwaka jana mwezi wa 1
2026-10-31 18:45:25
4
sweetykim438
SWEETY KIM💕 :
bora wewe imevunjika wengine ukimaliza tu deni zinazima zenyewe[Tears of joy]
2026-10-31 20:49:08
3
hairatyphidel
Hairaty Phidel :
nilijua n jirani yangu tuu 😂😂
2026-10-31 15:45:44
12
veromwalimu
Kajala official 🥂😶‍🌫️ :
me hii cm yangu ishadondoka mara nyingi ila ina subiri ni maliza deni ianze ujinga 🤣🤣🤣🤣
2026-11-02 01:44:35
1
tuna66077
😘tuna🫦 :
iyo kweli ukimaliza deni kama aija ibiwa basi itajizima bila sababu
2026-10-31 20:27:33
2
tatu.majariwa
Tatu majariwa :
wape ujumbe wao huo ndio ukweri 🫣🫣🫣
2026-10-31 18:24:23
9
user6552376096771
Asha muhando :
ila kweli yakwangu Mimi nimesha choka kuweka kioo acha ikae na ufa ivoivo
2026-10-31 16:23:15
8
amina.selemani067
amina Selemani :
mh mm ninayo mwaka watatu sasa iko vizuri tu
2026-11-03 05:48:12
1
sophiakalinga0
sophia kalinga :
kwer kabisa mm nimefuatilia iyo ishu 😳
2026-11-02 20:26:37
1
wamrcash
sammy ommy :
simu yangu samsungA07 kianzio nilitoa laki na ishirini ilibaki wik kila siku 2500 ikapotea chumbani kwangu mpak leo tangu mwak jana
2026-11-02 16:31:42
1
mrsabbas971
Mrs Abbas💍💖 :
🤣🤣ukimaliza mkopo tyu cm unaibiwa
2026-11-03 06:35:28
1
getrudashirima1
getruda :
nashukuru umeongea haraka haraka kuemdana na bando langu😆😅😂🤣
2026-10-31 21:29:08
2
winnefriderchorob
Winne babby :
kweri kaka mimi mwenyewe utakuta simu kama mtu tu anaipurixa inaanguka anguka tu bira hata sababuu[Laughing][Tears of joy][Big LOL]
2026-10-31 15:20:46
3
user65366681478147
Agnes John :
kwakweri kabisa wakamatwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-01 14:06:08
1
salhasaid07
Rumaysa🥰💞 side :
🤣😀🤣😀😂😀😂😆 atasaaaa
2026-11-01 14:33:31
1
kimcade3035939547663
Kim caren👽 :
Sina hamu nilimaliza mkopo kesho nikaibiwa
2026-10-31 17:43:13
0
neema.mkwama
Neema Mkwama :
iyo lini iyo leo
2026-11-01 07:23:07
1
chau.siku.wa.mangu
chau siku wa mang"ula :
mimi had leo.ip kwa fund nadaiwa elfu arobaini nimekppa ingine
2026-11-01 07:07:08
1
angela.nyota0
Angela Nyota :
miye sm yangu ninayo mpka now natamba nayo nme maliza na bado mpya utuzaji ni mdogo
2026-10-31 19:59:04
0
user5770188150505
lucy :
wachaw apo
2026-10-31 12:02:29
2
lenatusbahatikagoma
Lenatus Bahatikagoma :
mpaka chai unajiba kunywa ulipie sm lakin mambo ndo kama haya [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-31 18:25:24
2
To see more videos from user @mzalamo_mashilingi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About