@director_willy: 🤣🤣 Jamani jamaniii! Mapenzi yapo, furaha ipo, lakini maneno ya kumtambulisha mumewe yamegoma kutoka! ❤️�#wedding #weddingtiktok #inspiration #weddingday #sendoff #motivacional #viral #fyp #viralvideo #viraltiktok
director_willy
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 07:40:01 GMT
Music
Download
Comments
Minah🥰 :
Gauni baya
2026-10-31 10:09:50
78
Irene Mosha :
sasa unaema nn ivo
2026-10-31 09:24:01
38
@alaner my choice :
Watoeni hawa kabla sjapandisha
2026-10-31 09:51:49
567
pipit in :
nakuchitiwa kupo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-31 10:30:09
0
🦋 Esmerelda 🌹💞 :
aibu naona mim[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-31 20:03:18
0
Cute seyrani ❤️💜🥹 :
ana sifa akiona watu huyu
2026-10-31 10:19:51
201
Abigail cakes🌺🍰 :
Let love lead 🤭 Congratulations beautiful couple
2026-10-31 18:58:20
0
Raxie♒️ :
Ipo siku tu na mm
2026-10-31 09:30:50
118
Mills underwear :
[Tears of joy] sa mbna tayar umekosea😁😁 mwanaume anakosa confidence 😂🙌🏿
2026-10-31 18:02:54
0
dhiller :
Kinavohema kama kipo mchezoni awwww....
2026-10-31 10:11:13
190
popy da bliss💸 :
Nauza wivu jumla na rejareja
2026-10-31 12:01:54
78
Kashato daughter :
Anavojimaliza Sasa nachoka Mimi 🤣🤣🤣🙌
2026-10-31 17:26:00
13
Fine girly❤️ :
ata sijui nianzie wap kukutambulisha
2026-10-31 18:53:34
9
💕💫BABE DRAMAH❤ :
anav cheka
2026-10-31 19:25:29
0
Darwine Darwine :
kwanin umwambie kwenye maiki unawasha hapa kivipi...
2026-10-31 10:08:47
31
Brinah🦋🦋 :
Nauza wivu na mikoani natuma🥺
2026-10-31 14:47:00
14
𝓑𝓮𝓵𝓵𝓪 🎀 :
nabadilika rangi nikiwa na hasira
2026-10-31 15:06:41
8
A humble 🧒 🥰❤️ :
Sas mpk uheme nawewe
2026-10-31 12:12:50
1
mss_ :
Hawa tuliwakataza kuja wamelewa
2026-10-31 12:36:09
18
سجدة🌺❤️ :
Naomba nitambulishe taratibu
2026-10-31 15:50:50
10
Mamu wa mwajuma :
mi ningekuwa nishamaLiza utambulisho muda tyuu😂😂😂
2026-10-31 09:34:16
14
Rita.Rita💃 :
uyo dada Ni comidiani mzuri
2026-10-31 08:33:32
13
biteanna cutes :
kila penz litaonja umauti
2026-10-31 09:41:04
16
Ojl :
Nkiwa na Wivu nabadlika rangi 🥲🥲🥲🥲😓😓😓😓
2026-10-31 11:21:41
10
Mcharo🥰 :
Mapenzi yenu huko😏
2026-10-31 11:40:41
8
To see more videos from user @director_willy, please go to the Tikwm
homepage.