kuna wale hawatoi michango ya kwaya kwenye sare wa kwanza
2026-10-31 09:34:32
1
Abel Amosi :
haswAaaaaa
2026-10-31 10:35:49
0
jamespatrick :
sana wambie
2026-10-31 09:34:33
0
Grace sabas :
Hatutaki kabisaaa 😂😂
2026-10-31 08:11:06
1
BIG TEACHER :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved].msimu wa kujaa kwaya kwasasa
2026-10-31 07:50:50
0
Dickison William :
kwel kabis
2026-10-31 10:02:00
0
Mi G :
Wanena Vema 🙏
2026-10-31 09:40:25
0
marthabuganga :
[Tears of joy][Tears of joy] Na nikweli saiz wameshaanza kuja krisimas imekalibia
2026-10-31 09:37:49
0
kasbet :
kwelii
2026-10-31 08:47:03
0
Benadetha Mwanjala :
😅😅😅niongee kwakusimama au kwakukaa
2026-10-31 11:10:21
0
Naomy Jonas :
Amen amen
2026-10-31 09:00:31
0
♓️ po''sh🦋🦋 li''li🧢 :
hatutaki kabisa wanakwaya tunataka tulipwe🤣🤣🤣🤣
2026-10-31 08:17:36
0
binti sayuni :
cjui kwnn huwa wanajaaa kwenye matukio 😂😂😂😂
2026-10-31 11:00:33
0
makelele :
wakae nyumbani 2
2026-10-31 07:48:38
0
madam frav :
kabisa huwa wanaudhi kweli
2026-10-31 08:00:16
0
rosee🌹 :
rey popote ulipo na martha hudhurieni zoezi ntawafukuza mm😅🤣🤣
2026-10-31 10:43:31
0
Ta🥀 :
Niwatag Kwa sharti lakusolo nyimbo zote hata ambazo siziwezi🤣🤣🤣🤣
2026-10-31 08:54:22
0
brastonal 💞💞 :
ngoja niweke satatus wakinuna watajijua wenyewe
2026-10-31 10:28:04
1
MTOTO WA MAMA MARIA :
Ata viwawa wa matukio mje jumuiya bhana mmesikia[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-31 10:59:04
0
Aline biheze :
kuwepo na attendance kabisa na Sheria iwekwe miezi tatu huji kwayan kuwa muumini tu milele tusikuone😂😂😂
2026-10-31 10:09:00
0
M*m* T£ku🔐 :
mi napenda kujiita ua la kwaya...
wataenda wap waache ua la kwaya 😂😂😂😂
nakutag huk kinanda chakwaya ...Yani sorority wakiume huwez ondoka bla yeye 🤣🤣🤣
mtaenda sawa ...vip kamoyo kanasemaje😜
2026-10-31 11:10:55
0
Vimacho 🫣❤️ :
kunywa peps baba
2026-10-31 11:09:20
0
To see more videos from user @makelelee2, please go to the Tikwm
homepage.