@kelvoo_outfits: 📞 Namba zetu za simu zipo Bio/Profile hapo juu kwa huduma ya haraka na Mawasiliano zaidi 🛍️ Material Quality 💥 🛍️🚒 📍 Tunapatikana Uhasibu mkabala na Chuo cha T.I.A (Kurasini) Dar es salaam 📌 Delivery ndani ya Dar dakika 15 hadi 30, mikoani ni masaa 24 tu ✅ 📌 Tunatuma mikoa yote kwa uaminifu zaidi na haraka zaidi 🚚 📌 Tunauza jumla na rejareja Karibu kwa huduma bora na ya kisasa zaidi
KELVOO__OUTFITS
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 07:53:27 GMT
Music
Download
Comments
Salma khan :
una uhakika nikinunua hiyo nguo nitaweza kucheza kama ivyoo
2026-10-31 11:54:51
56
Dhian🦋❤ :
nataka
2026-11-05 17:23:16
0
princess Me❤❤💕 :
ila Kelvooo Model unaye unatamba naye anaijua kazi yake vzur🥰🥰
2026-10-31 09:14:07
62
𝓜𝓲𝓼𝓼 𝓣𝓮𝓮🌹 :
shiling ngap jmn
2026-10-31 11:58:45
2
mimah_Dawson🌹 :
Ni gauni au ni sketi na nlauzi nsomba kujibiwa
2026-10-31 15:14:09
2
꧁𝓜𝓼 𝓣𝓲𝓹꧂🦋🌸 :
Nguo ya kanisani nishapata
2026-10-31 16:54:53
1
H :
haya vimbaombao wenzangu samaleko 😁
2026-10-31 12:32:36
8
STAR LOOK🌟 :
Modo wa kevoo ana vibe vip pambe tu🥰🥰
2026-10-31 13:37:48
2
🦋نسر 🦋 :
Mtu wa mwanza anae itaji hii nguo tuagize kwa pamoja Nani ?
2026-11-01 15:36:36
0
✍️kalathumy👉❣️💝 :
kam hiyo ulovyaaa bei gan
2026-10-31 17:18:07
1
Celine Sululu :
hzo gauni bei gan
2026-11-03 19:57:49
0
Mis~L£@H~🦋🦋🩶🐞~ :
Shngp
2026-11-03 01:37:19
0
🥰🥰 cute halima 💕💕 :
shingapi
2026-10-31 07:56:00
0
Itc angel 🔥😉 :
tutajieni bei sasa
2026-11-02 17:48:16
0
user7139633302153 :
shingap
2026-11-02 10:48:55
0
It's me Jack :
hii ni gauni au two piece
2026-10-31 16:57:55
0
Charlie botuli :
oyoko combien
2026-10-31 09:32:58
0
shamy gill🦋🦋 :
bado ipo boss
2026-11-03 07:24:45
0
B🫶 swax queen💅💅 :
full shingap jamani
2026-10-31 08:51:28
5
mama g💕💔 :
naitaji ni shingapi na. mnapatikan wapii
2026-11-02 07:14:08
0
winfridafrancis :
shingap, na mkowap?? tafadhali nijibu
2026-11-02 09:47:36
0
Jackline Philimon :
wa singida tuagize pamoja
2026-11-06 18:52:57
0
Rebeca Ernest :
2026-11-02 09:26:04
0
Hubat Salim :
shingap
2026-11-02 11:14:57
0
🤘KENNIE💫 :
Top bila sketi napat au
2026-11-03 09:17:59
0
To see more videos from user @kelvoo_outfits, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.