@isleblogtv: #isleblogtv WALIOPOKEA MISHAHARA KIMAKOSA MAJIBU YATOLEWA NA KITENGO HUSIKA CHA MISHAHARA KWA WATUMUSHI WOTE SERIKALINI.

isleBlogTv
isleBlogTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 08:17:53 GMT
17537
354
63
187

Music

Download

Comments

user579614663936
user579614663936 :
application itoweni lkn si hii
2026-10-31 10:48:18
0
moma08.znz
mohaa :
wizi tu hakuna lolote
2026-10-31 10:08:47
2
bakarihamad567
ابو عبدالرحمن :
naona anabwabwaja tu sisi tuna degree tena kutoka form 6 mumetupa elf 2
2026-10-31 10:34:03
4
ummywaleed6
Ummywaleed :
wengine tunalalamika kwann watu wa afya wapewe kundi moja posho la mazingira magumu wengine tusipewe?
2026-10-31 11:01:44
3
user7691101168172
jokhayna :
mbona wengine hamujatuongeza hata shilingi moja wakati munagawa mishahara kwenye mfumo cc hamukutuona au mulifanya kusudi?tulioajiriwa 2023 na 24 walimu na madaktari hamujatuengeza kitu Raisi ametoa agizo mutuengeze mishahara kwa nini mulitufanyia hivi kutuumiza kimawazo?
2026-10-31 12:17:01
2
aran_pemba
Abdulrahman Jr :
hyo application anayosem inaitwa vp
2026-10-31 09:29:17
2
mrsunkowon1
Mrs A❤️ :
Nauliz hiv Walokosa mwez huu mwez ujao wanalipw psa yao
2026-10-31 15:06:51
2
user8125383526884
user8125383526884 :
haijfk lak 5 sikwel
2026-10-31 11:56:35
0
zanzibar_kuchi_quality
ZANZIBAR ONE KUCHI QUALITY :
jina la application mbona hukutaja?
2026-10-31 09:43:01
0
mwana.mussa
Mwana Mussa :
mnh napita tu maana cjafaham kitu
2026-10-31 14:24:34
1
sule.mriba
Sule mriba :
Zanzibar bado san tembeeni muone mm npo bara nafanya kaz kwenye jamuhuri ya mungano wa tz nyumban n Zanzibar ila znz bado sana mambo ya mshahara n posho kupangilia mnashindwa
2026-10-31 11:58:50
2
khadijaali1727
kh :
jibu ulivyoulizwa bwana
2026-10-31 10:45:20
2
mobiledual
mobiledual :
yn wengi wamesom certificate wakat wana diploma au degree
2026-10-31 10:27:24
0
fatma.fakih2
Tuma bee :
Hawkuengeza mishahara wameengeza maposho ambyo kwenye kustaafu hayatusaidii
2026-10-31 10:55:40
0
shaar.didah
shaar didah :
waongo maan hizo application azifanyi kazi wala azifunguki
2026-10-31 10:06:43
0
khadijaali1727
kh :
kwa nini mshahara umeengezwa lk 5 aingiziw elf 1 au 2
2026-10-31 10:48:07
2
user579614663936
user579614663936 :
mhhhh mbona km sifahamu
2026-10-31 10:47:44
1
aran_pemba
Abdulrahman Jr :
mbona hakuitaja
2026-10-31 09:29:24
0
tauhidakassim915
Tauhida Kassim :
hatar nn sijapata ata iyo buku 2 nimepata jero
2026-10-31 17:54:00
0
user3703036985666
user3703036985666 :
tunaomba mpitie tena sie wengine hamna kitu
2026-10-31 19:45:23
0
ummy.simai
ummy simai :
mtulipe haki yetu ya mwezi uliopita
2026-10-31 17:43:23
0
ummy.simai
ummy simai :
mtatulipa
2026-10-31 17:41:22
0
user6727778281125
user6727778281125 :
murekebishe tn mnatuzulumu tu
2026-10-31 16:41:28
0
user6727778281125
user6727778281125 :
wanatuzulumu tu ila mungu yupo
2026-10-31 16:38:54
0
kadhiya.zaidi
Kadhiya Zaidi :
kama mimi mwezi mmoja tulikatwa 75000 zetu mpaka leo hatujarejeshewa
2026-10-31 15:33:40
0
To see more videos from user @isleblogtv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About