@norrylumera:

KAKA WA TAIFA tz
KAKA WA TAIFA tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 08:40:02 GMT
401541
8828
652
218

Music

Download

Comments

somwana.omary6
Shadia Omary :
watu wengine jmn limbuken wa hao watu n uniform tyu zinawachangany ama jmn
2026-11-01 16:38:35
436
chidnma.trending
CHIDNMA COLLECTION👗 :
ety mwanajeshi ila watu wengine bhna😂😂😂😂
2026-10-31 16:07:24
251
agatha.mkajikuta
Agatha mkajikuta :
Tunaejua kujitafutia na sio kusubili watu watoke lindo ndo tule tujuane
2026-10-31 17:57:46
507
aisha.baby328
Aisha baby 🦋🦋 :
Mi niliambiwa mafuta mengi sio kujua kupika ila yule baba hapana🙌😂😂😂😂
2026-10-31 10:24:42
353
happymwakatamba
Happy Mwakatamba :
ninao kama wa tatu awa pajui ata kwangu
2026-10-31 11:02:56
47
irene.johnson28
Irene Johnson :
Sie ambao wa kwetu wa gereji tunakaa wapi😂😂😂
2026-11-01 18:19:14
37
lookingforblessingsssss
Blessings :
Sasa wanajeshi wameingiaje?😸
2026-10-31 19:30:32
38
christabellaedwa7
Bellah🦋🌸💙 :
wanajeshi ndio nn. bhna 😅
2026-11-01 07:13:47
32
traveller_magar
traveller_magari :
me nilijua maji kumbe mafuta aloooo hapo BP na total oil petro station yote yanakuandama😃😃
2026-11-02 12:56:57
30
missmaudodonavina
[email protected] :
Kwahiyo wengine hawawez ivo 😂😂😂ungejua
2026-11-02 10:48:39
7
adella.nzijilo
Adella Nzijilo :
Haya hii niya wake wa wanajeshi😂😂😂me napita tu
2026-10-31 08:47:48
31
manka.kimariyo
Manka Kimariyo :
wangu hapana aiseee hataka vyakula vyenye mafuta kabisaaaa anataka chukuchuku mpka inabid nipike mara mbil
2026-10-31 10:11:17
39
cmgallery2
CM GALLERY :
yaani hadi now sielewi ilo yai na wanajeshi vinaingilianaje 🤣🤣🤣
2026-11-04 18:43:03
8
user7800461279185
saumuu :
umeona eeeeee wake wa wanajeshi wezangu mpooo
2026-11-01 09:39:39
6
tinah_h17
@tinah_ 269 :
Mwanajeshi mgambo?
2026-10-31 16:35:48
8
wobbyjr_14
Wobby Jr :
Too much oil
2026-10-31 15:58:04
6
jessy.beauty.saloo
jessy beauty :
Wanajesh wa darasa la saba au[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 12:57:07
6
user9753613070595
sarah 🥰🥰 :
af mbna ni watu tu wakawaida au hz sare ndo zinawadatisha
2026-11-01 17:54:31
7
user4956272804915
user4956272804915 :
mbona mim ni mke wa mjesh na sijui hicho kinachopikwa ni nin 😂😂
2026-10-31 16:14:16
10
user9530472438833
Lizzy msukuma💞💞💞💞 :
Kwahy tuwasaidie nn
2026-10-31 10:44:05
15
asyahabibu
Asya❤️❤️❤️🔐🔐 :
Labda sio wangu mm na futa hilooo apana
2026-10-31 10:09:45
5
nasonmtanzania
Nason_the_NBF :
unitengenezee na hayo mafuta dumu mbili unataka kuniua?😀
2026-11-03 15:18:08
2
cellygstories8
Celly G Stories :
naomba kuuliza hayo ni maji au mafuta?? nisije nikabolonga
2026-11-02 15:12:48
0
angel4444555
Rh❤️da💫 :
😂😂 ambao hata wanajesh hatuwajui tuna kaa wapii😂😂😂
2026-11-04 07:06:37
2
gracesimba1
Gee🔐🦋🦋 :
et mwana jeshi nina mwanajeshi nimemkaushia nanagar kbx na sina shobo nae kila siku ana tuma text na sijali wala mm
2026-11-05 12:21:47
0
To see more videos from user @norrylumera, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About