@seyraa_09: part2✨ Islamic teaching🥰love story ❤️‍🩹❤️‍🩹✨

Seyraa👑
Seyraa👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 08:48:33 GMT
240185
11893
991
1041

Music

Download

Comments

r16dida
my dida💜💜 :
kwani akioa me sii ninamuacha na mkewe mpya maisha yanaendelea😂
2026-10-31 09:44:15
543
sharifamembe815
Shery Rm😍 :
Me aoe kimyakimya aoe kwa makelele sina muda sina waswas na sijali nna vtu vyakujali vingi sio kujali mboo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-31 10:11:55
234
balqis.mohamed17
Balqis Mohamed :
Akiongeza walahi nawaacha waishi wenyew walahi uke wenza kipengele mm siuwez jmn 🥺🥺
2026-10-31 11:41:59
79
baby_miaa47
baby miaa 🥀🌷 :
Kwann sasa niolewe na mme wa mtu wallah 🥹
2026-10-31 09:37:17
122
.mrs_akbar
💕ZUH KABABE🦋🧸 :
mbn mm ndonaumia ety😢
2026-10-31 14:47:52
0
angel.jeremiah8
a꧁༺ 𝓐𝓷𝓰𝓮𝓵𝓲𝓪 ༻꧂ :
vile sipendi kulala na mwanaume kila cku na aongeze 2 nipate muda wa kupumzika
2026-10-31 12:44:19
60
ukhutyd
dalya :
wallah hiiikitu Inauma saw wallah 😭😭
2026-10-31 09:18:35
57
director.phone.acc
DIRECTOR phone accessories. :
nilichogunduwa wanawake wengi hawataki ukewenza kwa sababu ya mali wanaona akiongezeka mwengine itakuwaje tugawane hizi mali wakati mm mimetafuta kwatabu namumewangu .ni mawazo yangu tu🙏🙏
2026-10-31 14:07:25
25
username_zaynab
zaynab🧕 :
akioa namwacha tu na maisha yake haina hata haja ya kugomban🥹
2026-10-31 11:09:56
26
ancestor685
BLOOD ANCËẞTÖR :
TATZO KWA WAISLAMU INARUHUSIWA KUOA KIMY KIMY HAT MM NTAFANY HV HV
2026-10-31 10:01:10
22
nuryah45
Nuryah :
kwani Mtume Muhammad peace be upon him alikuwa anazingatia mambo yap kwenye ndoa mbona wake zake waliish vizur tu Wala hawakugombana Kwan alikuwa anaishi nao vp?ukute hii wangefata wanaume wa sas ingekuwa Haina shida kwetu jamani so sad
2026-10-31 12:38:12
13
g.man2910
G man :
Mke akiwa mmoja analemaa ila ukimuongezea Huwa anachangamka
2026-10-31 09:55:30
6
officialmamithojay
it's mamithojay💫 :
wallai nahis maumivu yake😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭me naeza kufa wallai😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭yaaarab niepushe na mitihani kama hiii😭😭😭😭😭😭
2026-10-31 09:52:54
10
zulfa.angerousi
Zuuh🦋💕 :
mm ningepiga kofi mume nafata mkewe wa pili nabonda then naondoka😅😅
2026-10-31 10:25:26
12
user2218391357021
kim crishaz 💞🍓🦋 :
akioa na mimi naenda kuolewa
2026-10-31 11:47:33
8
pretty.zee6675
@it's me :
mm akiongeza ntashukuru atakuwa kanipunguzia majukumu akimua aoe hata wanne ila2 pesa awe nazo mana hapo kuvumilia akisema sina siwez
2026-10-31 10:56:39
15
preityriri
RiRi :
kwa wanaume kuongea rahis sana so hii siwezi kubishana na wanaume taishiwa pumzi tuu ikiwa fatma Binti rasul aliuchukia uke wenza itakuwa cc jamani
2026-10-31 12:48:27
7
zainabkomba517
da zaynabu 🥰🙏 :
jmn asikwambie mtu mwanaume akisha ongeza mke ndani lazima mke mmoja ateseke waraih
2026-10-31 16:36:52
7
chozzysalum
CHOZZY SALUM :
Mm nitakuja kuwa wallah uyo mwanaume km anataka kuoa aniach kwaza ndo aoe 🥺🥺🥺
2026-10-31 10:20:32
5
chiquefarhaniejr
Chique FaRhANie JR :
Kidini yang kislam unatakiw umwmbie mkeo ili haridhie akupe na baraka zake na unatakiw umnunulie kit cha samn umpee au nakosea
2026-10-31 11:52:52
19
blinker151
Belinder Akware :
mimi naye siezi fight i will just pack niende nililie uko mbali😢😢😢😢😢
2026-10-31 10:43:35
5
voguenesttarime
✨VOGUE NEST🛍️tarime :
Haya matukio yananiumiza
2026-10-31 11:07:23
5
serhaworld1997
Serhaworld🦋 :
Ila wanaume lakini wao wakisikiaaa tu umekuaaa karibu na mtu mwengine wanawehukaaaa
2026-10-31 10:17:23
5
mishizahran
Mishizahran :
😂😂Yaani wangu akioa aoetuu anipunguzie najukumu na wala zamu pia asiwekee abaki hukohuko😂
2026-10-31 10:48:33
5
nurain.inte
NU'RAIN INTE. :
Mm niliona nitakufa bt alhamdhulillai Niko ila naumwa Sina uzima
2026-10-31 09:41:52
10
To see more videos from user @seyraa_09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About