@cekam_chemist: Niitieni huyu mtaalamu wa AI brother McBenvis aje aelewe kwa nini mpaka sasa hakuna mvua, lakini kuna El Niño ya jua na Joto kali. Ikumbukwe EL NIÑO sio MVUA bali ni kuongezeka kwa Joto Baharini, ambako husababisha maeneo mengine Duniani yabadilike hali ya hewa, yanaweza kupata Mvua kubwa, Jua kali au vyote kwa pamoja. Wataalamu bado wanajiuliza maswali, kwa nini EL NIÑO ya mwaka huu ina fanana na LA NIÑA na bado hawana majibu yanayoeleweka kwa sababu bado wanatumia sayansi za El Niño zilizopita. Sababu zangu ni zile zile na sitatengua kauli 1️⃣ Tectonic Plates Movement 2️⃣ Solar Eclipse (Gravitational Pull) 3️⃣ Solar Flares (Magnetic Field Distortion) Hizi ndizo sababu za El Niño ya mwaka huu ina patterns tofauti na hizo nyingine zilizopita. Mimi ni Cekam Cekam's mtaalamu wa Sayansi Ngumu kwa Lugha Nyepesi #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #elnino #laniña #udsm

Cekam
Cekam
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 08:58:06 GMT
1050
74
7
1

Music

Download

Comments

beatus___
876 :
kwani elnino ni mvua kubwa au joto, mbona sielewi
2026-10-31 09:31:58
1
user8752624922049
user8752624922049 :
namkubali sana uyu mwamba ,tungekuwa na wasomi weng iv ,wefikilia mtu anazungumza point kama izi ,zinanifanya nitafakali Kwa kujiludia na nikiangalia na uhalisia wa hali ya hewa tuliyonayo ,hongera sana MUNGU azidi kukuweka hai wewe ni wa🔥.
2026-10-31 11:45:07
1
abdallahissa.ndal
Abdallahissa Ndalitaye :
naanzaje kuchunguza maswala hayo kaka kwa usomi zaidi
2026-11-01 08:16:54
0
ndiomzee
Laur Tajiri :
serikali ukupe nafasi pale TMA , waliopo vilaza watupu , wanocopy na kupest bila logic and fact, 💪💪
2026-10-31 13:59:16
1
To see more videos from user @cekam_chemist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About