Jumuiya yetu nikusemwa tuu wasiochanga michango si vinginevyo 😂
2026-10-31 13:55:52
40
Perfectshine004 :
jumuiya za hivi ndo nazitakaga .
2026-10-31 09:12:42
22
Being _Lisa❣️ :
Ndo una kuta siku huja enda!! 😭😂🙌
2026-10-31 14:53:38
6
dorcasthomas62 :
nisinge kosaa jumuiya hata moja 🤣🤣
2026-10-31 11:28:08
7
shoselisa :
natamani kujua imecost kiasi gani ili na huku segerea mniletee kwenye jumuiya yangu
2026-10-31 15:04:39
2
mimaholly accessories :
itabidi nihamie madale😂😂😂😂
2026-10-31 11:36:28
5
🎃 :
jumuia yetu ni masimango tuuu
2026-10-31 14:40:59
2
just a girl❤️💫 :
uku kwetu jumuiya inaanza saa 12 asubuhi inaisha saa tatu apo katikati ni masimango kusulihisha hekaheka za ndoa utazani zinatuhusu na vijembe kiruu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-31 14:52:14
3
Fissoo :
Nihamie madale sasa ,,
2026-10-31 18:27:16
0
cera ❤️❤️ :
Izi zitakuwa za beach uko izi zakwetu akuna kitu kama icho
2026-10-31 14:37:58
1
little_angie :
Nianzze kuwahii jumuiya sasssa😂
2026-10-31 16:58:49
1
Glorie-emmancetz 👄 :
Jumuiya yetu
2026-10-31 13:43:29
1
ms_didi1 :
Nataka hii jumuiya jaman
2026-10-31 18:20:45
0
Emmy 🛍️ :
Tukienda kanda ndio tunakula hivi
2026-10-31 15:54:01
1
bahati :
naomba kujiunga na jumuiya yenu
2026-10-31 12:57:16
1
neema255 :
Wapi huko
2026-10-31 17:08:14
0
mr winner :
mbona hatualikan
2026-10-31 11:31:34
0
GLAD :
Natamani sana hii nikiwa na familia nitahost hiki kitu au nikipata kazi niende kwetu niambie mama ang ni katibu wa jumuia wakija home wapate chai
2026-10-31 16:56:01
0
Obina :
ilinishinda Umbea. maneno mengi. kuna watu wanajionaga Miungu watu.
2026-10-31 18:45:59
0
grace🤍 🌾 🎂 :
Madale ipi jamani nihamiee🫣🫣😋
2026-10-31 12:34:57
0
myfoodtz :
Tunapatikana kwa Kupiga/ WhatsApp 0684882300. Tunafika popote Dar es salaam Karibuni sana.
2026-10-31 09:14:43
0
Trisha :
Naomba gharama dear dm. Watu 70
2026-10-31 17:19:46
1
Rose jk🥰 :
An apo ata nkisikia usafi kanisani sikosi ng’ooo adi zile sk za katikati ya wiki 😂😂😂
2026-10-31 14:10:12
1
Big poper 🛣️ :
uwe unanishtua mm niwe nasoma somo zingatia unapopewa oda tyuu maan chanika to madale😅😅
2026-10-31 13:39:18
1
moonlight :
unakosaje jumuiya kwa style hii
2026-10-31 11:25:10
0
To see more videos from user @myfoodtz, please go to the Tikwm
homepage.