@historia.yetu.tz: Replying to @khatibissa266 Historia ya Mbagala usiyokuwa unaijua! 😳 Ulijua Mbagala maana yake ni KUPUMZIKA? 😱 Enzi hizo ilikuwa pori watu walipumzika njiani ndio maana leo tunaita Mbagala! Wewe ni Mbagala wapi? Charambe? Mbagala Kuu? Rangi Tatu? Mbagala Zakhem? Comment hapa chini 👇 #mbagala #daressalaam #historia #tanzania #mbagalahistory
Msimuamini AI ninachujua mimi Dar es Salaam haina mwenyewe hao wazaramo ni watu waliobahatika kuwa tu na ukaribu na mkoa huu lakini ki uasilia huu mji hauna Mwenyewe kama hamtaki mtajua wenyewe lkn ukweli ndo huo achaneni na uongo wa AI😏
2026-10-31 15:59:11
2
daa ruu :
jaman mtupe mji wetu sasa wazaram [Machozi ya furaha][Machozi ya furaha][Machozi ya furaha][Machozi ya furaha]
2026-10-31 09:47:09
12
Twahasaidy :
alhamdulillah mie mzaramu natamba tu kwa huyu jamaa 😁😁😁😁
2026-10-31 19:52:23
4
HASSAN :
NAMBA MAANA YA MSASANI
2026-10-31 12:55:40
2
Mrs 26 wamatozzy :
mimi mbagala 3
2026-10-31 11:20:52
1
hanifa :
jmn mi nasubilia tabata tu
2026-10-31 16:56:29
3
queen precious love :
Chanika
2026-11-01 11:21:17
3
cathy🤎🤎 :
mbagala charambe kwa mbiku nay ina historia yake
2026-10-31 17:03:03
0
official zeey💖 :
naomba ya kunduchi
2026-10-31 19:18:39
1
SIR MEJA :
kaka hapo umetupiga
2026-10-31 15:04:59
0
MJ :
Sio kweli, mbagala kwa kizaramo ni aina ya nyasi zinazoshipua wakati wa mvua, kwq kizigua huitwa mbayaya....kibantu ni kilekile mbagala=mbayaya= nyasi ndefu
2026-10-31 14:22:23
0
sabnur mom :
mbagala secondary ndio nyumban
2026-11-02 06:05:20
0
panny joy :
mbagara mission
2026-11-01 17:00:59
3
waziri mgaza :
nipe ya KIJITONYAMA mkuu
2026-11-01 16:30:34
2
Langis Japheti :
rangi tatu
2026-11-01 22:43:19
1
Khatib :
Asante kwa majibu,mimi nyumbani ni Mbagala Charambe kwa Mbiku
2026-10-31 16:56:25
2
ashamw :
naomba kinyerez
2026-11-01 14:27:08
1
first born✅️🎀 :
mbagala kijichi🥰🥰
2026-10-31 20:35:34
1
coldhar25 :
naomba ya Tangi bovu,Goba na Mbezi
2026-11-01 15:42:54
1
Wenlly45 :
naomba kibada
2026-10-31 16:30:12
1
niwamala1 :
Naomba ya kijitonyama
2026-10-31 14:17:46
1
bajaji_point :
Weeee mkali[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-11-01 03:45:24
1
user3523604900623 :
bagamoyo maana yake mini
2026-10-31 12:07:18
3
August@255 :
naomba masaki
2026-10-31 10:16:22
2
To see more videos from user @historia.yetu.tz, please go to the Tikwm
homepage.