tajiri ww mtu wa maana kabisa achana nae uyo anatafta tushuke pale juuu usikubali
2026-10-31 11:42:04
13
HASSANI D,H,MSALE :
c mashabiki tunakuelewa tajili
2026-10-31 17:15:26
1
Alwi Hadi :
Na matangazo. Ya jezi. ??? Mapato ni ngapi. Mbona huweki wazi
2026-10-31 13:26:37
1
Mrs H :
Bosi ndo kashaxmaaaa👌👌👌
Moo tunae na tunatambaa naeeeeee🥰🥰
2026-10-31 15:08:54
1
sawaka@2025 :
tajiri kashasema SIMBA NGUVU MOJA BHASI wana Simba tumemuelewa
2026-10-31 16:19:31
1
John gm :
sas mfano Mimi naanzaje kumuelewa mangungu mtu hawez ata kulipa wachezaji kwa mwezi mmoja tu ikitokea Mo hayupo mtu alishindwa kutengeneza bus la Simba akaona ajiuzie mwenyew hapa namuelewa Mo coz ndo anafanya Simba inakuwa hvi
2026-10-31 13:50:32
2
MAGEMBE :
mo pambana kaka 2po nyuma yako
2026-10-31 13:57:21
1
saidiabedihalilih :
chukua tim sisi tunataka furahaa atutaki malumbano kila mala