@fiisabiilillah: Mambo muhimu kwa MUISILAM kuyajua #Tanzaniamuslim #mawaidhatiktok #tanzaniatiktok

Fiisabiilillah 📿
Fiisabiilillah 📿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 10:27:01 GMT
37062
2267
50
357

Music

Download

Comments

ibrahimali5011
ibrahimali5011 :
jazakalhu
2026-10-31 22:02:37
0
yahayaharuna858
Haruna construction services :
naomba niongezee kwaajili ya Allah kwenye madhii au wadii kama alivyosema shkh utajisafisha tu ila kama yameangukia kwenye nguo (boxa au chupi) utalazimika pia kuosha kwa maji sehemu yalipoangukia maana hiyo ni najisi udhu utakuwa nao ila kuswali hutoruhusiwa kwakuwa ktk nguo zako ipo najisi Wallahu A'lam
2026-10-31 12:18:14
10
user5036811734202
"jeshi"="official" :
yakiingia kwenye nguo je unapaswa kubadilisha nguo yako
2026-10-31 18:00:39
1
mwadini
mwadini :
shukurani she
2026-10-31 10:55:33
4
user4465563781482
marium :
shukran
2026-10-31 16:50:37
3
romanrose_ig
Romanrose :
kwaio ukiota afu uka towa mani ina bidi uoge kawaida au uoge janaba
2026-10-31 22:01:21
0
hassansaid1990
Hassan Said :
hayo maji yote yanapotoka yakagusa suruali au nguo ya ndani je yafaa ukabadili nguo kabla ya udhu au kukoga
2026-11-01 03:42:32
0
user2347886801524
hamsini :
shukrani shekhe nilikua nateseka sana juu yagilo
2026-10-31 18:00:01
1
danayah.juma
danayah juma :
shkrn
2026-10-31 12:19:51
1
runner2777
runner🔵 :
na mbona twaambiwa manii ni twahara?
2026-10-31 17:06:48
1
mohammedmajuto320
MOH.SAIBARI :
HIII DINI HATUKUFUNDISHWA HIVI MIAKA 1990 NYE MNATUPONZA MASHEKHE
2026-10-31 18:29:55
1
dottomasoudkafara
Khalfan Masoud :
Na kama yameingia kwenye nguo inafaa kuisalia bila ya kuosha/kufua ile sehemu?
2026-10-31 12:47:08
0
muhammadkhatib817
محمد خطيب :
sasa no maji ya aina 5 or 4
2026-10-31 16:29:12
1
official_sadam
official_sadam🤘 :
Mashallah
2026-10-31 12:33:03
2
sefu2182
prédicateur.Saifu..utmani♥️ :
Mash Allah
2026-10-31 16:26:14
2
suleymanjuma0
𝙐𝙈𝙈𝘼𝙏 𝙈𝙐𝙃𝘼𝙈𝙈𝘼𝘿 ﷺ :
hv na mtu Akitoa ushuzi ety anatakiwa akajisafishe maana Kuna watu Wana itilafiana
2026-10-31 20:49:32
0
elwachoearly
el-wacho :
na jee ncha kidole kikigusa mlango wa chupa yachululiwaje?
2026-10-31 18:23:34
0
ummyart10
ummy-art10😘 :
Kwa mwanamke ambae hajawahi kufanya ilo tendo atayajuaje ayo manii ili akoge
2026-10-31 16:59:25
0
user5525065708676
Abuu maujude :
mwamba
2026-10-31 16:08:49
0
masoud.abas
Ibun ABASSi :
😂😂😂😂😂😂we dg ni mweh kwer
2026-10-31 18:37:10
0
user8887474026942
official mush🕸️buibui junior :
jeeh madhii ikikutoka kwenye nguo jeh nguo inakuwa na twahala
2026-10-31 17:02:07
0
issa.mussa54
Issa Outfits :
🙏🙏
2026-10-31 19:00:25
1
harison846
Harison :
👍👍👍
2026-10-31 18:25:35
1
life_gurl
life❤️❤️❤️. gurl :
🙏🙏🙏
2026-10-31 16:38:33
2
mahafudhuathumani
Mahafudhu Athumani :
[Pray][Pray]
2026-10-31 12:38:47
1
To see more videos from user @fiisabiilillah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About