@silioflife2: #siliyamaishafact #tanzaniatiktok #fypage #mwangaza💡 #misemo_ya_hekima

sili ya maisha 3
sili ya maisha 3
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 10:59:08 GMT
164195
12153
168
1279

Music

Download

Comments

mgumu06
mgumu :
hao ndo wanatupiga visu vya moyo wakishajipata kidogo2
2026-11-02 19:40:36
28
mamaketracey28
Nangila❤️ :
my mom thank you so much❤️❤️
2026-11-07 18:33:28
0
mmbonemosorori
Mmbone Mosorori :
my mother live long[Pray][Pray][Pray][Heartwarming]
2026-11-07 05:10:24
0
mukoyajackline8gmail.com
mukoyajackline8gmail.com :
n kweli kabisa Daddy 🙏🙏
2026-11-01 22:40:25
3
senteuh
Senteuh, :
blessed
2026-11-06 21:53:56
0
jaqlyn.k
jaqlyn.k :
nilimsaidia mtu niliye muona rafiki,akapta kazi akaichezea akafukuzwa nikawa nailisha familia yake,somesha watoto wake,visha watoto wake....alipopata kunyanyuka tena...akanifukuzisha kazi nilipokuwepo,akajaribu kunigombanisha na mpenzi wangu na baadhi ya marafiki zangu,akaniita majina yote ya dharau....nimemsamehe ili nisijizibie baraka zangu lkn nimemkabidhi kwa Mungu....ipo siku dunia itamkumbusha.
2026-11-02 06:42:52
11
mariam.hussein.ba
Da mamu :
Kweli sijawahi kusaidiwa ,ila Mimi ndo mtu ninaesimama na watu shida zao nazibeba mwisho wa siku wanakulipa dharau jeuri n kiburi Kisha wananidhurumu na Malli zangu wanapita hivi.Ilq yote Kwa yote MUNGU ni mwaminifu sana siwachukii nawaombea Kwa MUNGU na yeye ndo atakae nilipa Mimi Kwa namna nyingine
2026-11-04 12:47:46
2
bentamuramba535
bentamuramba535 :
exactly 💯
2026-11-06 12:26:28
0
heightsofrealms
Majid :
Asante ndungu
2026-11-06 07:24:19
0
flylady94
Fly lady 🌹🌹💞 :
My brother,my brother,my brother mwenyezi Mungu amtunze daimaaa naahid pia kuwa shangazi mwema kwa watoto wake
2026-11-04 10:20:00
5
raph25401
@Raphsakwa254🇰🇪 :
uwa wanasema awakutuliazimisha, tulifanya Kwa hiari
2026-11-03 19:25:31
3
lulendashop
Lulend@9 :
kaka nakuelewa saana
2026-11-03 11:50:17
3
agnesmasanja331
Agnes Masanja :
amen baba angu ubarikiwe hakika umenena
2026-11-06 07:01:45
1
nasramusakwale
user00254 :
Nasimama n m2 akiwa na wakati mgumu baadae aty hkn k2 kinafanya tuwe krb brooh dunia duwara
2026-11-02 19:07:00
2
mundhir064
Mrs 💕 special 🌹 :
mama angu mdog .stosahau wewe zaid ya mama
2026-11-02 17:59:15
3
bestie.collection5
Bestie collection :
Mama yangu and my family 🙏
2026-11-02 19:16:03
1
miss.mercylyn
-@miss mercylyn :
mungu nilindie moses aliye simama na Mimi wakati mgumu
2026-11-04 18:20:58
1
rhoda6417
Rhoda. :
amina
2026-11-05 04:43:17
0
rainfrida0
Rainfrida💕🥰🦋✈️⚖️ :
🥺🥺🥺🥺🙏🙏
2026-11-04 04:34:54
1
nyag1994
NYAGOLA YANGA TARIME :
M namkubaliii mama na mke wanguu kipenzii
2026-11-02 18:58:40
1
shontawhite8
lron lady :
Said mungu akulinde walai ushwahi kosa eeehi ulisaidia zaid ya ndugu 😥😥
2026-11-03 19:55:08
1
eliudijovine2
Eliudi :
Fact
2026-11-01 13:43:56
1
jacklinjacklin441
Jacklin Jacklin :
[Heartwarming] Weng hawan wema
2026-11-03 16:06:21
1
queeny.john
Miss Queen John :
Xitokuj kumxahau huyu kaka alivyonikubal mm na mimba yang nlivyokataliwa na baba mtoto hyo jmn mungu amlinde xana ampe hitaji la moyo
2026-10-31 11:23:00
1
kerubodamamotas36
Kerubo Dama Motas :
mungu wangu nisaidie nisiwasahau walio nisaidia amen.
2026-11-02 07:26:26
1
To see more videos from user @silioflife2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About