allah nae amjaalie hakimu aachiliwe huru yaumul kiama
2026-10-31 14:19:17
863
_habibty 🦋🫧 :
ya Allah nilindie mama angu kwa kila hali mola wangu 😭😭😭😭
2026-10-31 13:53:31
679
mtoto mzuri :
walai all in all there will never be anyone to love you in this world like your mother and Allah, 🙏🙏🙏
2026-10-31 19:56:15
0
chunga's daughter🌹 :
YARABBY nilindie mom anguu
2026-10-31 22:19:27
0
Mis- nanah :
Nani kalia kama mimi😢😢😢
2026-10-31 14:26:00
183
𝑰𝒕’𝒔 𝑵𝒂𝒊𝒇𝒂𝒕 🦋🌹🕊️ :
nimelia 😭😔 wazazi tu ndo tunaelewa hii felling 😔
2026-10-31 14:55:12
118
MS FRANK :
mpk nalia jmn mung nilindie mom anguh🙏
2026-10-31 13:58:39
259
Miah :
another day crying with unknown people 😅😅
2026-10-31 20:08:47
0
lareine khamoa :
there is no one like a mother...😘
2026-10-31 17:28:24
0
NASMAH :
ya Allah naomba mpunguzie mama angu adhabu za kabri na umpe kauli thabiti na anisamehe ata kwa kidogo nilichowai kumkosea
2026-10-31 15:12:10
122
Official asmah✨🦋 :
Sijui nilichukua kiungo gani mama angu maishani mwako unichukie hivi uwiii🥺 sina mtu wa kumwambia ninavyojisikia that’s why I hate love au kuwa na familia nachukia sana yarab sijui nimekosea wapi mim
2026-10-31 14:09:51
35
mishi abdalla :
the sadest video
2026-10-31 22:32:02
0
Tahan...🌹 🥀 :
mpk nimelia subbuhanallah 🥹😭
2026-10-31 16:16:38
64
Mr_butterfly 🇹🇿 :
Allah Nakuomba Unisamehe kama kuna kosa nilowah kimkosea Mama yangu kwa kujua au kwa kutokujua
HAKIKA BARAKA ZIPO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU
ALLAH mpe maisha marefu MAMA
mpe maisha marefu hakimu hakika wamempa jina tuu lakini HAKIMU NI WEW ALLAH 🙏
ALLAH-AKBAR 🙏
2026-10-31 19:19:53
5
🌹𝕁𝕒𝕔𝕜𝕤𝕠𝕟 ℝ𝕛 🗽💒 :
mama ni mtu mwenye nguvu sana MUNGU ombi langu kwako mlinde mama angu pia wape falaja wale wote ambao mama zao wametanguria mbele za haki 🙏
2026-10-31 18:08:44
8
consa :
Ee mungu nilindie mama yangu popote alipo
2026-10-31 16:47:44
22
Mrs kitwana og♥️🌹 :
Hakim popte ulipo mungu akupe maisha malefu
2026-10-31 15:21:59
26
G📿Y🇮🇷 :
Na ukorofi wangu oye bangi zangu pombe zangu kupenda kwangu wanaake mama angu ajawai kuacha kunipenda na kila siku kwakwe mimi ni bora zaidi ya yoyote