@ms_zuu: Kama haujawahi kupanda ndege hii video ni kwaajili yako, airtanzania, precision air, auric air, flightlink. Safari za ndani ya nchi. Mwanza, dar, arusha, kigoma na dodoma
Sema korosho zao ni tamu ila wanagawa pakti moja tu sipendi🥺🥺
2026-10-31 14:27:51
28
ericalen7 :
ticket au boarding pass?
2026-10-31 17:03:11
0
Ngomale Anna Ngocha❤️🤍 :
Me siku ya kwanza niling’ang’ania dirishan kumbe sio seat yangu😂😂😂😂
2026-10-31 17:37:09
8
user2154602391467 :
Kama SGR tu
2026-10-31 16:59:47
2
Tausi Ramadhani :
ila mm mwenzenu uwezo wa kupanda ndege kwa safari za ndani nikiamua nnao ila nimuoga cjui kwa nini mi hata lift tu ya gorofani nimuoga meli ndio usiseme ninapata kizunguzungu flan ivi cjui nna mapepo😅😅😅 msinichambe nna sukari
2026-10-31 15:43:14
6
sheebah🦋 :
ivi seat unazijuaje jaman me naona kama nitachemka😂😂😂
2026-10-31 16:43:12
1
Justo D Justo :
umeluka hatua zaidi ya nne so mifumo haiko sawa
2026-10-31 17:42:51
3
Cate Yohana24 :
hapa nishapata uzoefu mwakani napanda🤣🤣
2026-10-31 14:36:57
1
Dubai crochet 🧶 :
Kadi ya bima ya nhif inaruhusiwa kutumika Kama hauna kitambulisho chochote kingne?
2026-10-31 13:10:32
4
Annieindian tile's & Uganda :
mimi nipate mtu nisafiri nae atahapa hapa Tz nisije tia aibu mwakani nikienda majuu
2026-10-31 13:12:44
4
Marie :
Mara yakwanza nilikaaa kiburudisho sikujuaa ni bure 🤣
2026-10-31 13:35:37
2
justisofzaa :
Anaejua utafauti na terminal 1,2,3 anijulishe please nisije kuabika
2026-10-31 17:26:19
0
Selina paul@@ :
mwanza daa shingapi
2026-10-31 13:21:08
0
Shany :
umetufikisha huku mm ticket napataje
2026-10-31 14:09:30
0
House of Quality :
Hizo ni boarding pass sio tiketi mom
2026-10-31 14:01:48
1
Leah Diomides :
Asante Atimae nimepanda ndege TikTok na wifi yangu ya bule🤣
2026-10-31 17:12:06
1
user8147914816701 :
nashukuru mpenzi wangu alinielekeza Kila kituu🥰
2026-10-31 15:07:55
1
Madam Winger :
Iv mtu ukiwa na mtu anatumia wheelchair izo Ngazi inakuaje 😭
2026-10-31 17:52:55
0
Lissa 4real 💫❤ :
dar Zanzibar xhingap
2026-10-31 17:31:42
0
Mrs :
terminal 1 ni kwa ajili ya ndege binafs,safari maalum,ndege za kukodi
Terminal 2 safari za ndani
Terminal 3 safari ya nje ya nchi
2026-10-31 19:06:03
0
Donnie_ely :
huduma ya magari sio kŵa airport ndogo ndogo mbona Oriver Tambo South tunapanda magari kuifata ndege uwanjani
2026-10-31 19:25:41
0
lehrah@ :
iko kiburudisho unakilipia?
2026-10-31 19:03:01
0
magie :
Nitaomba tuwe wote siku ya kwanza kupanda ngoja nichange hela
2026-10-31 18:15:20
0
Hamadi :
hii mwanza
2026-10-31 13:06:48
0
To see more videos from user @ms_zuu, please go to the Tikwm
homepage.