@warox_og: Diamond Platnumz amekuwa gumzo baada ya kuonekana akiwa amevalia grillz za silver zenye madini ya almasi wakati wa performance yake kwenye show ya Retro Tour iliyofanyika Kampala, Uganda, usiku wa kuamkia leo. Muonekano huo umevutia macho ya mashabiki, huku thamani ya grillz hizo ikitajwa kuwa ya mamilioni ya pesa. Je, kwa makadirio yako, grillz hizo za Diamond Platnumz zinaweza kuwa na thamani ya kiasi gani? #tanzania🇹🇿 #foryou #fyp #intertainment #diamondplatnumz