@infinixkahama: hii Xpad 30E ni ya kisasa zaidi imekuja na material mengi zaidi ya 120k vitabu vya kujifunzia.big screen yenye 11inches FHD na Ina eye care display,,batter yenye uwezo mkubwa sana WA kukaa na chaji kwa mda mrefu karibu ujipatie sasa kwa cash na mkopo # ukiwa na nida no tu #Infinixkahama #fyp #CapCut #viral #infinixmobiletz