@prosper.william: 💥💯Ukitaka kujua Mgogoro wa Simba ni Mgumu SIKILIZA kwa makini hizi kauli Mbili ya MANGUNGU na MIRAJI MARAMOJA. DAAAH! WAZANAKI WANASEMA "MANG'ANA MARU" WAKIMAANISHA " MAMBO NI MENGI" #timuyawananchi #yangakandayaziwa #daimambelenyumamwiko

Yanga School of soccer. gp
Yanga School of soccer. gp
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 14:46:28 GMT
15008
379
7
5

Music

Download

Comments

juakali_kuwanya
juakali_kuwanya :
Mzee Mangungu yupo sahii, Uwepo wake anawazuia wasio nania njema na Club, juhudi zao ni Kumdhoofisha zen Kumuondoa Kupitia Uchaguzi Ujao, waweke Mtu wao. baada ya Miaka 3 ijayo Mutakuja Kusikia (Muwekezaji) anaidai Club Trilion 10 Ndio Kila Mtu atashtuka. imetumikaje ? lini ? wapi ? Mwisho Club inakuwa mali ya Muwekezaji 100% Sio tena zile 51% za Wanachama. CEO wake, M/kiti wa Bord wake, wajumbe wa Bord wake, Kilichobaki M/kit ipande wa wanachama ili kuhalalisha matumizi yaliyofanyika bila Kuingizwa kwenye Akaunt ya Club, yan anapatana yeye analipa yeye 😂😂😂
2026-10-31 21:45:57
2
hancyfation
hancy :
mangungu nimeanza kumuelewa machawa wapogo tu
2026-10-31 15:39:03
2
bagabriellamlt
👑 KiBELLa oG :
Mjumbe Gb64
2026-11-01 06:34:50
0
To see more videos from user @prosper.william, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About