@maguisratv: Mkiwaonea Hawa Mnatafuta Kifo" JAJI MKUU MASAJU AWACHANA VIONGOZI AGEUKA MUHUBIRI #maguisratv #tanzania

MAGUISRA TV
MAGUISRA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 October 2026 15:39:31 GMT
36526
1100
86
163

Music

Download

Comments

user7172840041066
Strength :
HILO NDILO NENO LA BWANA!! TUMSHUKURU MUNGU!!
2026-10-31 16:54:53
21
mhi776
Mtu wa maana!! :
huyu jamaa anasali wapi
2026-10-31 17:22:27
5
user77882906838060
Www.Daudi msangi.390 .Arusha . :
hapo wenye unyenyekevu wa mungu ndo wanao muelewa lakin kama wenye nguvu na dharau wata mpuuza na kujifanya hawamuelewi jaji
2026-10-31 17:53:32
4
ranadhanirajabu
R50 :
Jaji anataka kusema jambo
2026-10-31 17:05:38
10
user6107237933704
user6107237933704 :
hao niviongozi wenye hofu ya mungu,hao ndio viongozi tunao waitaji
2026-10-31 17:18:24
4
deghe.mangae
MZEE MKOLONI :
Kaka umesema sana na MUNGU azidi kukulinda
2026-10-31 17:05:52
3
belya790
belya :
awawezi kukusikia mkuu
2026-10-31 18:45:34
1
janeshirima5
jane shirima :
jaji tunae 🥰
2026-10-31 17:32:10
6
white.mgeni7
White Mgeni :
MUNGU AKUBARIKI SANAA UWE MTENDAJI WA NENO USIWE MSIKIAJI NA MSOMAJI TUU
2026-10-31 18:51:36
1
joyce.francis45
Joyce Francis :
Asante unatukumbusha neno kubwa kabisa mwenye masikio na asikie kuna maisha baada ya maisha haya asante kwa kutukumbusha tuwe na hofu ya Mungu
2026-10-31 19:00:29
1
jasperringo6
jasperringo6 :
Jaji ni Msabato na Jaji ni Muhubiri sio kageuka Muhubiri. leo ni Sabato
2026-10-31 17:54:57
2
cosmas.komba15
Cosmas Komba :
mwachieni lissu basi tujenge nchi yetuu sote
2026-10-31 16:25:22
4
user80520936274830
jonte :
sasa kama munayajua ayo kwann munafunga watu ovyo ovyo
2026-10-31 16:32:50
3
user3415904086017
user3415904086017 :
Jaji Mungu akupe maisha marefu.
2026-10-31 17:45:29
1
kasimubakar
Alreza :
Jaji Masaju acha kukwepa majukumu Yako uliyopewa ni watawala
2026-10-31 18:33:21
0
user1435930029744
user1435930029744 :
saundi nyingi kila siku
2026-10-31 17:28:21
0
maandiko73
kalolina :
Ameni Ameni
2026-10-31 17:11:18
1
cosmas.komba15
Cosmas Komba :
mmmh
2026-10-31 16:24:21
1
jmtimi4
j,mtimi :
hongera baba nilikuwa wamwisho kuamini kuwa kwanini mliosoma sheria mungu awfunulie billiards na imekuwa hivyo
2026-10-31 17:02:41
1
jimmymg4
user223214426 :
pilato utoe hukumu sawa ukienda tofauti hukumu yako inatoka kwamungu
2026-10-31 16:55:49
1
adriano.mngulwi
Adriano Mngulwi :
ukweli upo siku zote ila kuutekeleza
2026-10-31 17:00:34
1
alex.mosha04
Alex Mosha :
ukweli tunao ambao wameanza kuwa wajene, imebakia kuwa yatima
2026-10-31 16:43:56
1
mr.silver605
mr silver :
ila tunapenda huu ukweli mungu akulinde baba
2026-10-31 21:04:01
0
user6110559574316
INJIRI YA KWELI :
nimependa sana safi mkuu endeleakukazia
2026-10-31 20:02:23
0
wilbrod.john.pare
Wilbrod John pareso :
hongera Baba
2026-10-31 16:49:29
0
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About