Mungu ninaemwamini akaisikie sala na maombi yako ukafanikiwe na wote wanaoamini ktk Kristo Ameni🙏
2026-11-01 22:52:21
4
Karaine classic🇹🇿 :
Sio rahis ukute wachimbaji wanamuomba mungu kwa umoja namna hii kweli nilitaman niache kazi Kama hizi lakini Hawa wamenipa moyo wakufanya kaz Tena naipenda hii kazi💪na mungu awasaidie🙏
2026-11-02 04:09:34
7
Aisha idi 🥰 :
mungu ni mkubwa hongereni kwa kumuabudu yeye maana ndiye njia ya uzima NAKUPENDA MUNGU😊
2026-11-01 11:38:00
0
ma ray🦋🦋 :
amen mungu awalinde🙏
2026-11-02 17:46:49
0
Danny saria :
Ameen wakuu🔥🔥
2026-11-22 18:17:44
1
Hilda Gabraeli :
jamani yesu awasaidie tu umo
2026-11-21 19:42:48
1
Asna Juma :
amn mung awe pamoj nany
2026-11-13 06:32:19
1
T.U.G. Official :
Kila atu kuna jambo mbele ya kristu. Hakika na mungu ata weza kutuacha.
2026-11-02 08:59:40
0
paris :
amina
2026-11-21 11:33:15
1
Faj :
Manga Game
watu tunatoka mbali sana nimepaona msikitini nikakumbuka mbali sana..
2026-11-06 10:13:35
1
HussLloydz :
Ameeen Makamanda
2026-11-01 09:23:25
0
Bituni Hednton :
Ameen
2026-11-01 06:01:15
0
Eliaman kayai :
Amen [Pray][Pray][Pray]
2026-11-17 09:19:41
1
OCD BIRD 🦅 :
kaka mungu akusaidie aseee poah
2026-11-03 12:17:00
1
user12299609598380 :
Amenaa
2026-11-13 12:06:26
0
K OLE :
amn
2026-11-07 19:17:45
0
Oshi Moleli :
Ameni
2026-11-17 23:14:12
0
saruni Joshua :
amina
2026-11-10 21:06:30
1
BOAZ MAHENGE :
mgodi gani huu?
2026-11-06 05:51:05
0
HANNAH Henry🇬🇧🇩🇪 :
kuanza na yesu kwa shughuli na kumaliza na yesu ni ushindi mkuu huo hongereni kwa kumtanguliza yesu kwenye kazi zetu
2026-11-13 12:44:04
0
kindnessmakundi88 :
Ameen
2026-11-17 09:15:01
0
Michael Ayuko :
amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2026-11-06 16:49:18
0
K OLE :
kabsa kaka
2026-11-07 19:17:41
0
Paulo Dingi :
aisee nikwere chaliyangu uko Rubi nikaribu sanaa
2026-11-06 19:22:54
0
Paulo L. Sokoyeti :
Safi Sana Watumishi wa Mungu Mungu Awaongoze mfke na mrudi Salama 👏
2026-11-01 06:38:19
0
To see more videos from user @ama.codestylish3, please go to the Tikwm
homepage.