Mtu huyu ana uchungu mwingi moyoni, ikiwezekana aitwe asikilizwe asihukumiwe kwa maneno yake kwa kuwa alikuwa na hasira, huenda kuna mambo ya kumuumiza yafuatiliwe, pia mtoa post ungekata maeneo yenye maneno magumu.
Mungu tubariki watoto wa Africa.
2026-11-01 09:25:30
2
Pastory Pk :
madaktari wanakosagani jamani?🤔🤔👊
2026-11-01 08:51:09
1
Amour jr :
yupo hai huyu???
2026-11-01 09:55:45
1
Shedrack :
Me najuwa kilakitu
Kesi ilianzia hapa
Alipo mbhyauvbjjt6r44eeq. zbbhuahg pale
mangyysivvcfxbd nky hyt atari mbysgrrteijevdhhytvbdbjj hg ataki kabs kufuhjs sgtxjjbghsbs jxjxyt ma ajabu ya jfg yebsbgyydkjsjy.
2026-10-31 19:38:59
2
Real Boy🪡 :
Ukiwa mtenda mema utapendwa na kuenziwa Magufuli yupo hai katika mioyo ya watanzania wengi sanaaaaaaa Rest in peace ✌️
Allah aendelee kukuhifadhi na Allah atakulipa mzee wangu ata kama watatumia nguvu na mabavu kukuondoa ila ujumbe umeshafika na najuwa sio wewe ila ni Allah mwenyewe ndio amekutumia wewe
2026-11-01 04:42:44
4
Isack Moremi♐️ :
Wananchi wana vidonda vingi sana moyoni na hii ni mbaya sana kama watu wakiendelea kukosa haki na kuskilizwa.
2026-10-31 19:35:25
7
Kevin :
ukizua watu kusema hata mawe wataongea
2026-10-31 18:44:23
6
peters718 :
Ukiwambia wanasema TEC ni wachochezi
2026-10-31 19:56:19
5
mohamedi zuberi :
hata sisi wa hali ya chini tushakuwa hatuna imani
2026-10-31 18:09:35
6
Msethi :
Tumefika huku kwa Serikali kukataa ukweli wanapenda uchawa tu
2026-11-01 05:37:42
3
Side Exellent :
kwl tumeumia lkn upo mungu atatupambania.tutafika tu
2026-10-31 20:10:42
1
Bosco Balotozy Otonya :
Apewe ulinzi
2026-11-01 08:26:08
1
Lubanga the great :
ni wafanya biashara serikalini
2026-11-01 08:26:09
1
paschal manylii :
vetinam hawaishi
2026-11-01 05:13:51
2
To see more videos from user @hnswahili, please go to the Tikwm
homepage.